Hivi wadada wa mjini mnawezaje

Hivi wadada wa mjini mnawezaje

Hebu funguka mkuu hivi mnawezaje kuwahudumia watu zaid ya kumi na kila mtu ana imani kuwa wewe ni demu wake tupe siri ya kambi
simple tu mbon,,kila mmoja wilaya yake basi nakua na line kam zote😌 pia sera za kumwaga
 
simple tu mbon,,kila mmoja wilaya yake basi nakua na line kam zote😌 pia sera za kumwaga
Mh inatisha sana kwaiyo mtu anakuwa hataki kujua ukweli wala kukuchunguza circle yako ya mahusiano
 
Unakuta mdada ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya kumi na wote anawahudumia na anawapiga vizinga na wanamuamini hivi mnawezaje?

Unakuta msela anajiaminisha kabisa kuwa fulan ni manzi yake wakati kwenye ground haipo ivo cjui mnawezaje kuwaaminisha hao wote hadi wakuamini?

NB, am boy but am curious to know, naona majamaa zangu wanapigwa vizinga na hawaambiliki upuuzi!
Bro ukishaanza kuwaza hayo mambo au kutaman jinsi wanavoishi soon unapoteza ubingwa🌈🌈🌈
 
Unakuta mdada ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya kumi na wote anawahudumia na anawapiga vizinga na wanamuamini hivi mnawezaje?

Unakuta msela anajiaminisha kabisa kuwa fulan ni manzi yake wakati kwenye ground haipo ivo cjui mnawezaje kuwaaminisha hao wote hadi wakuamini?

NB, am boy but am curious to know, naona majamaa zangu wanapigwa vizinga na hawaambiliki upuuzi!
Yo boy is boyless
 
Off course wao ndio wenye majibu sahihi watuambie wanawezaje kuwapanga mijamaa foleni kutoka dar mpaka moro na misela isielewe kitu au wanatumia uchawi
Mm mwenyewe nlikua nalo limoja ivi kumbe tulikua kama 20+ dem ukimcheki external appearance very innocent...afu wa kimbulu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom