safi sana namna hiyo.My man gives me everything! Everything mkuu Sina Sababu ya kudanga na haitokuja tokea na hata asingekua yeye Bora nipambane na shida Zangu ila sio kuuza utu wangu for money
Never
Ni kweli kabisa mkuuKama mwanamke hauishi naye ni rahisi zaidi yeye kuwa na wadau wengi
Nilichokusudia kukueleza ni kwamba,wanaume hufikiri na kujiaminisha kwamba wanawake wana akili finyu.Si kweli.Kama anaweza kuwamiliki na kucheza na akili za wanaume zaidi ya wanne halafu umuone dhaifu basi haujitambui.Mwanamke ni kiumbe wa mahesabu na mbinumbinu hatari.Ndiyo maana ukishtuka na kuzijua unachanganyikiwa na unaweza hadi kuua mtu.Muombe Mungu akupe ufahamu.Hivi inakuwaje kuwaje au wanatumia ndumba
Mkuu hayo mawazo yalikua mwanzo...muda ulivozidi kwenda nikapiga chiniNa uliweka matumaini kabsa kuwa ni manzi yako au ulikuwa unapita tu