Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Wadau karibu kwa maoni!
Kushindwa kuu control mwili wako.Wadau karibu kwa maoni!
Ila wa kurithi na kula utawajua aje?Kurithi
Wengine ni kula
Na factor gani?Inategemea
View attachment 3417010
Vp kuhusu wa kurithi utawajua aje?Vyote
Wa kurithi hata wakila kidogo wanananepaIla wa kurithi na kula utawajua aje?
Huwezi kuwajua kama sio watu wako wa karibu,Vp kuhusu wa kurithi utawajua aje?
Duh lakini Kuna familia naona watu wameshiba kwelikweli kwanzia wazaziHuwezi kuwajua kama sio watu wako wa karibu,
Duh 🥲Wa kurithi hata wakila kidogo wanananepa
Una maoni gani kuhusu hawa wa genetics?Unene ni moja ya janga linaowakumba wengi!
Inatokana na Kula vyakula vya sukari na wanga kwa wingi bila mpangilio! Kama ataendelea na Ulaji huo bila kuwa na vipindi vya kufast au kufanya mazoezi yuko hatarini kuingia kwenye Kisukari kamili,DM2.