Hao sina comment!Una maoni gani kuhusu hawa wa genetics?
Hao sina comment!Una maoni gani kuhusu hawa wa genetics?
Kula sana huwa inaanza kwanzà ́, méngine baadaeWadau karibu kwa maoni!
Hakika....unajua kula ni Starehe kwa hiyo binadamu huwa tunazidisha hii Starehe aliyotupatia Mwenyezi MunguPunguza kula vyakula vya wanga na protini.
Fanya mazoezi.
Aisee hivi siku hizi kuna dawa za kunenepesha hii mishangazi au ni peremende wanazomeza?Inategemea
View attachment 3417010
😂😂😂Wanene once again 😎
Napenda mabongenyanya, wanakuwa na vinyeo vyenye mafuta sana.Wengi ni kula hovyo, kina dada ndio vinara wa ubongenyanya shauri ya kula hovyo.
Nimeishi na jamaa Hali 24/7 busy lakini kitambi kilikuwa kinakuja tuKula sana huwa inaanza kwanzà ́, méngine baadae
Kwenye shelfu mtaji ni buku twenty ila mtaji kwny mwili ni pesa mingi jooInategemea
View attachment 3417010
Mmmh 🤔 🤔 this isn't trueUnene ni dalili ya mtu mlafi asiejipenda
Umbo la binadamu kumsoma Tabia yake ni unene
Nadhani kwa sasa wadau watakuwa wameongeza mtaji wa kutosha hapoInategemea
View attachment 3417010
Ambao hatujajenga tunalaumiwa Bure tu🤣🤣🤣Inategemea
View attachment 3417010
Majibu avarage mind discuss events simple mi d like mtoa mada u a explace ppls and their bodyUnene ni dalili ya mtu mlafi asiejipenda
Umbo la binadamu kumsoma Tabia yake ni unene
Wa kurithi ata afanyaje hapungui...Ila wa kurithi na kula utawajua aje?
Hapaa panauzwa bia au vinginevyo...maana bia za kuhesabuu,afuu muudumu tandamInategemea
View attachment 3417010