Hivi wafanyakazi wa Clouds radio/tv hamna sehemu nyingine ya kujipiga picha?

Wowowow Give each other respect pls....In JF Queen's language is Kiswahili,...We are not proud of colonial language in in here,...We have travel so far,climbing so many mountains to reach to the destination,please don't take u back to the colonial errors,..we are proud for what we are..

My advice is:Emancipate your self from mental slavery non but your self can free your mind,..

Stay black mate..<3
 
Kuna harufu ya chuki kwa Clouds kutoka kwa huyu shabiki lialia wa WASAFI. Acheni hizo mazee, both WASAFI na Clouds watapeleka mziki huu wa bongo fleva next level, tuendelee kuwasapoti
 
 
studio za redio hazihitaji jengo kubwa...so wanakula kwa urefu wa kamba yao
 
Sema kuna mavazi mengine asee sio sawa kwa mwanaune huyo Jamaa alovaa kipensi hivi anajihisi poa kabisa!!mwanaumenkuachia mapaja namba hiyo lazima ukikutana na mtu anaejua kutupa ndoano vizuri hata kama sio Tabia zako unaweza kugawa jicho.
Ukionaa mwanaume anagawaaa hilo jicho ujue kapenda na nitabiaaa yake wanaume kibao siku hizi wanvyaa shots ni fashion zina trnd .....sasa ikionaa anayefanya huo uchafu jua ni tabiaa yake
 
Sema kuna mavazi mengine asee sio sawa kwa mwanaune huyo Jamaa alovaa kipensi hivi anajihisi poa kabisa!!mwanaumenkuachia mapaja namba hiyo lazima ukikutana na mtu anaejua kutupa ndoano vizuri hata kama sio Tabia zako unaweza kugawa jicho.
lakulia au lakushoto
 
Sasa umewaficha sura tutajuaje kama hao ni wafanyakazi kweli wa Clouds?
 
Kaaaazi kwelikweli


Hivi yule mista sikuizi hapatikani kabisa humu mana dah imebidi nimkumbuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…