Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #21
Kwanini bossMim sheli nying sana ni kama nina shida nao kuna wakat huwa natembea zaidi ya km 2 kwenda kwenye sheli zilizopo mbali
Kwanini bossMim sheli nying sana ni kama nina shida nao kuna wakat huwa natembea zaidi ya km 2 kwenda kwenye sheli zilizopo mbali
WabongooShelly walishaondoka ,hivyo ni vituo vya mafuta...
Yaan mambo mengiPetrol station nyingi kuna michezo mingi sana ya chini kwa chini inafanyika
Wanatukwaza kama una hasira unaweza piga mtuUkarimu ni sehemu ya huduma, tatizo ni kuwa sio lazima mtoa huduma awe mkarimu chamsingi ni wewe upate huduma.
Aidha watoa huduma wengi hawazingatii kuwa ukarimu ni moja ya kipaumbele katika kutoa huduma bora, hivyo wanajikuta wakitoa huduma tu, na sio huduma bora.
Inategemea na kampuni. Ila range kati ya 180k mpaka 250kShingapi?
Hiyo ni kampuni sio jina la vituo ,zilikuwepo Shelly yenye logo kama ya njano, kulikuwa na BP ...Sas zipo hizi camel , Total , na nyingine za waarabu.Kwanini mkuu?
Zingine ni kuazima pia naweza kuwa dereva daladala
🤔🤔🤔🤔Lakini mkuu mwachi, Shell hawapo tena Tanzania 🤣 au ilikuwa total energies, lake oil au nani😀
Kumbe wananufaika kulipia cash?Umetumia njia ya kulipia ambayo inawabana kwenye urefu wa kamba yao
Ma sponsor wanahusika! Si unajua pale anakuwa yupo sokoni mataita wanakuja na magari kwa io hachelewi kupata danga
😂😂 tushazoea kuita ivyo na sio petro stationLakini mkuu mwachi, Shell hawapo tena Tanzania 🤣 au ilikuwa total energies, lake oil au nani😀
Kweli pesa ndogo na nasikia wanakatwa ikitokea shortInategemea na kampuni. Ila range kati ya 180k mpaka 250k
Sheli nying zenye wateja wengi huwa nikifika ni kama sionekani(afu hii huwa inanitokea hata kwenye mambo mengine,unaweza msemesha mtu hata asikujibu ni kama hakusikii Mshana Jr anisaidie hii)Kwanini boss
We itakuwa unaonekana kauzu sanaSheli nying zenye wateja wengi huwa nikifika ni kama sionekani(afu hii huwa inanitokea hata kwenye mambo mengine,unaweza msemesha mtu hata asikujibu ni kama hakusikii Mshana Jr anisaidie hii)
sipendag foleni kabisa,hata nikiwaga kwenye sehem wanazotoa chakula kwa foleni huwa nakuwa wa mwsho napata chakula kidogo au kukosa kabisa
Kabla ya kutunga story muwe mnafanya utafiti. Hata pikipiki huna. Wewe Tanzania hii wapi umeona vituo vya mafuta vya SHELI? WEWE ULIONA WAPI?Kuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba
Wakaanza kunifokea kwanini unalipia kwa lipa namba na usemi maneno yalikuwa mengi sana nikakosa cha kumjibu na muangalia amalize kuongea akaja kijana mmoja kusikiliza kuangalia muhamala umefika ila kilichomfanya anifokee sikukiona nikaona ana shida na mawazo mengi sana hii sio mara ya kwanza sheri nyingi sana kauli mbovu sana
Juzi Nilienda sheri moja Hapa Mjini nikampa Dada efu 75 anijazie mafuta badae nikamwambia Fanya kuongeza yawe ya lak tu akasema Kwanini hukusema na kujipanga toka Mwanzo amshukuru nilikuwa na mwanamke ambaye sikutaka ajue Tabia YANGU mapema nikavunga nikamwambia Samahani.Kuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba
Wakaanza kunifokea kwanini unalipia kwa lipa namba na usemi maneno yalikuwa mengi sana nikakosa cha kumjibu na muangalia amalize kuongea akaja kijana mmoja kusikiliza kuangalia muhamala umefika ila kilichomfanya anifokee sikukiona nikaona ana shida na mawazo mengi sana hii sio mara ya kwanza sheri nyingi sana kauli mbovu sana
Nisamehe mimiKabla ya kutunga story muwe mnafanya utafiti. Hata pikipiki huna. Wewe Tanzania hii wapi umeona vituo vya mafuta vya SHELI? WEWE ULIONA WAPI?
Hivi Mkuu sheli siyo neno rasmi?Lakini mkuu mwachi, Shell hawapo tena Tanzania 🤣 au ilikuwa total energies, lake oil au nani😀