Hivi wafanyakazi wa sheli wana shida gani?

Kuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba

Wakaanza kunifokea kwanini unalipia kwa lipa namba na usemi maneno yalikuwa mengi sana nikakosa cha kumjibu na muangalia amalize kuongea akaja kijana mmoja kusikiliza kuangalia muhamala umefika ila kilichomfanya anifokee sikukiona nikaona ana shida na mawazo mengi sana hii sio mara ya kwanza sheri nyingi sana kauli mbovu sana
Mbona ww ndo unatufokea..
 
Shelly walishaondoka ,hivyo ni vituo vya mafuta...

Nipo Sheli ya Oilcom hapa nakusubiri 😀😀😀 ,utamkuta mtu anaenda kununua Diapers anakwambia nipe Pampers hizo za Softcare.

1745000372631.png

1745000420683.png

1745000487722.png
 
Kuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba

Wakaanza kunifokea kwanini unalipia kwa lipa namba na usemi maneno yalikuwa mengi sana nikakosa cha kumjibu na muangalia amalize kuongea akaja kijana mmoja kusikiliza kuangalia muhamala umefika ila kilichomfanya anifokee sikukiona nikaona ana shida na mawazo mengi sana hii sio mara ya kwanza sheri nyingi sana kauli mbovu sana
shida iko kwa viongozi wao
 
Next time before kulipa kwa simu mtaarifu muhusika kwanza, Maana washazoea cash payin na pia njia za simu zinahitaji confirmations maana utapeli ni mwingi.
 
Sawq
 
Back
Top Bottom