Hivi wafanyakazi wa sheli wana shida gani?

Mi huwa natenga chombo nafungua tank weka mafuta
Mengine namuachia mwenyewe
 
huku mkoani kwangu, wako poa sana down to earth.
Yawezekana hao wa kwenu ni wale wa kuota; mali ya kaka, mjomba nk bila kujali professionalism
 
Hivi Mkuu sheli siyo neno rasmi?
Maana mimi toka nikiwa chalii naenda au natumwa sheli..
Hadi leo hua nasema naenda sheli
Shell ni kampuni ya mafuta na vimiminika vya magari(oil) kama walivyo puma, lake oil, total energies nk ila nadhani miaka ya nyuma ilikuwa imejiwekeza sana bongo ndio maana wenhi wakawa wanatumia "shell"!
 
Hukusoma kiswahili...
Utohoaji wa maneno.

Sheli limebaki kama jina.
Haliko rasmi hata kama limetoholewa ila ni kimtaani tu. Kituo cha mafuta ndio neno rasmi.
 
Kuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba

Wakaanza kunifokea kwanini unalipia kwa lipa namba na usemi maneno yalikuwa mengi sana nikakosa cha kumjibu na muangalia amalize kuongea akaja kijana mmoja kusikiliza kuangalia muhamala umefika ila kilichomfanya anifokee sikukiona nikaona ana shida na mawazo mengi sana hii sio mara ya kwanza sheri nyingi sana kauli mbovu sana
Wengine ni majini yangu kaka maana haiwezekani nimpigie mgonjwa wangu ili nimjulie hali asipokee simu ni mwendo wa kutuma kimbola tu
 
Shelly walishaondoka ,hivyo ni vituo vya mafuta...
Nilikuwa najiuliza Shell wamerudi nchini na kuanza kuuza mafuta kwenye vituo vyao mimi sijui😂😆

Haya bhana, kumbe alimaanishi SHERI kituo cha mafuta sio kampuni ya SHELL
 
Kum
Kuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba

Wakaanza kunifokea kwanini unalipia kwa lipa namba na usemi maneno yalikuwa mengi sana nikakosa cha kumjibu na muangalia amalize kuongea akaja kijana mmoja kusikiliza kuangalia muhamala umefika ila kilichomfanya anifokee sikukiona nikaona ana shida na mawazo mengi sana hii sio mara ya kwanza sheri nyingi sana kauli mbovu sana
Kumbe shell bado wapo Tanzania
 
Wengi wamepata hizo nafasi kwa rushwa ya .... Kwahiyo zinawatesa hawana furaha, kwenye taasisi nyingi binafsi kama hizi kupata nafasi lazima utoe kwanza 😁
 
Nilijua ni sheli za kwetu tu kumbe kila sehemu!

Wadada mjirekebishe kwakweli maana sehemu nyingi za huduma wadada ndio waropokaji na visilani
 
Hivi kumbe shell bado wapogo
Kikubwa wengi tunaelewa sidhani kama kuna haja ya kulikuza jambo hili

Ningekuwa nina uwezo ningepeleka bakita hoja yangu hili neno "sheli" lirasimishwe kabisa maana hii "kituo cha mafuta" haijakaa poa kivile

Kwa wasiojua;
Shell ilikuwa kampuni ya kuuza mafuta (hasa petroli) na ilikuwa kwenye vituo vyake kunakuwa na chapa kubwa ya maandishi yanayosomeka shell. Afrika Mashariki hususan Kenya na Tanzania tumechukua jina hilo kwa lafudhi yetu tukasema "sheli" na imekuwa kituo chochote cha mafuta tunaita hivyo bila kujali ni kituo cha kampuni ipi

Jina la chapa au kampuni linaweza kuzoeleka na kufanywa kama nomino ya kawaida kumaanisha kitu fulani. Siyo ajabu hili jambo lipo sana na linakubalika katika lugha mfano

Kuna maeneo sabuni ya unga yoyote wanaita omo na kuna maeneo mengine wanaita foma haijalishi imetengenezwa ma kampuni gani

Kuna maeneo mafuta ya kupikia yoyote yasiyo ya alizeti wanaita korie (tena kule kwetu umasaini wanaita "korea")

Mifano mingine ni kama bajaji kumaanisha pikipiki yoyote ya tairi tatu hata kama siyo kutoka kampuni ya Bajaj

Rambo kumaanisha mfuko wowote wa plastiki hata kama haukuandikwa Rambo

Pampers kumaanisha nepi za kisasa za watoto hata kama ni nepi za kampuni tofauti na pampers. Always kwa taulo za kike hata kama siyo kutoka kampuni ya always

Kuna jamii mpaka leo chupa ya chai wanaita Thermos lakini kiuhalisia Thermos ni chapa ya kampuni

Funikabovu ni ile gundi ya utepe leo hii kila utakayemwuliza inaitwaje atasema solatepu. Kiuhalisia sellotape ni chapa ya kampuni

TV za kichogo kuna wanaoziita Hitachi, betri za redio (selikavu) kuna watu wanaziita beli au Panasonic au national

Mifano inatosha au niendelee wajameni 🤣
 
Wanalipwa hela mbuzi ndio maana wanakuwaga na hasira sana
Umkute ana short ya kiasi kadhaa, ni balaa sana mwisho wa mwezi wengine huwa wanatoka kapa kabisa, kama wahudumu wa Bar unapigiwa na hesabu ya glass ulizovunja
 
Wana stress sana mshahara mdogo bado wanafidia shoti itakayopatikana kwenye pampu zao
 
Kikubwa wengi tunaelewa sidhani kama kuna haja ya kulikuza jambo hili

Ningekuwa nina uwezo ningepeleka bakita hoja yangu hili neno "sheli" lirasimishwe kabisa maana hii "kituo cha mafuta" haijakaa poa kivile

Kwa wasiojua;
Shell ilikuwa kampuni ya kuuza mafuta (hasa petroli) na ilikuwa kwenye vituo vyake kunakuwa na chapa kubwa ya maandishi yanayosomeka shell. Afrika Mashariki hususan Kenya na Tanzania tumechukua jina hilo kwa lafudhi yetu tukasema "sheli" na imekuwa kituo chochote cha mafuta tunaita hivyo bila kujali ni kituo cha kampuni ipi

Sio ajabu hili jambo lipo sana na linakubalika katika lugha mfano

Kuna maeneo sabuni ya unga yoyote wanaita omo na kuna maeneo mengine wanaita foma haijalishi imetengenezwa ma kampuni gani

Kuna maeneo mafuta ya kupikia yoyote yasiyo ya alizeti wanaita korie (tena kule kwetu umasaini wanaita "korea")

Mifano mingine ni kama bajaji kumaanisha pikipiki yoyote ya tairi tatu hata kama siyo kutoka kampuni ya Bajaj

Rambo kumaanisha mfuko wowote wa plastiki hata kama haukuandikwa Rambo

Pampers kumaanisha nepi za kisasa za watoto hata kama ni nepi za kampuni tofauti na pampers. Always kwa taulo za kike hata kama siyo kutoka kampuni ya always

Kuna jamii mpaka leo chupa ya chai wanaita Thermos lakini kiuhalisia Thermos ni chapa ya kampuni

Funikabovu ni ile gundi ya utepe leo hii kila utakayemwuliza inaitwaje atasema solatepu. Kiuhalisia sellotape ni chapa ya kampuni

TV za kichogo kuna wanaoziita Hitachi, betri za redio (selikavu) kuna watu wanaziita beli au Panasonic au national

Mifano inatosha au niendelee wajameni 🤣
Hapo kwenye thermos mkuu umetisha sana umetukamata wengi
 
Back
Top Bottom