Hivi wafanyakazi wa sheli wana shida gani?

Kuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba

Wakaanza kunifokea kwanini unalipia kwa lipa namba na usemi maneno yalikuwa mengi sana nikakosa cha kumjibu na muangalia amalize kuongea akaja kijana mmoja kusikiliza kuangalia muhamala umefika ila kilichomfanya anifokee sikukiona nikaona ana shida na mawazo mengi sana hii sio mara ya kwanza sheri nyingi sana kauli mbovu sana
Sheli ni nini ? Au petrol station ? Pole zakooo
 
Juzi Nilienda sheri moja Hapa Mjini nikampa Dada efu 75 anijazie mafuta badae nikamwambia Fanya kuongeza yawe ya lak tu akasema Kwanini hukusema na kujipanga toka Mwanzo amshukuru nilikuwa na mwanamke ambaye sikutaka ajue Tabia YANGU mapema nikavunga nikamwambia Samahani.
😂😂 hivi wanashida gani sana sasa hapo shida ipo wapi
 
Kuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba

Wakaanza kunifokea kwanini unalipia kwa lipa namba na usemi maneno yalikuwa mengi sana nikakosa cha kumjibu na muangalia amalize kuongea akaja kijana mmoja kusikiliza kuangalia muhamala umefika ila kilichomfanya anifokee sikukiona nikaona ana shida na mawazo mengi sana hii sio mara ya kwanza sheri nyingi sana kauli mbovu sana
Kaka nunua usafiri wa Maana hao wadada huwa ni wapole sana na ni wakarimu.
Ulikuwa juu ya Boda
 
Tatizo kubwa ni mishahara maisha magumu wanauza Nyapu na mikuyundu kama hawana wazazi
Kwa hiyo hasira huzitoa hasa kwetu sisi wenye Toyo ukiwa na gari Wana heshima kidogo mbwa wale...

Huku wanalipwa 150-200k Kwa mwezi
Sasa geto zuri self hapa kitaa ni 70-100k je atatoboa asipouza kisimbuzi chake? Wanaume nao mikuyundu Iko hatarini kupoteza marinda yake ni kuwaombea usiku na mchana Kwa Mungu baba.

Yangu ni hayo.

NB: Mvua hizi zinavyoendelea kuonyesha ni nzuri mno Kwa kilimo Cha Watoto.
Kuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba

Wakaanza kunifokea kwanini unalipia kwa lipa namba na usemi maneno yalikuwa mengi sana nikakosa cha kumjibu na muangalia amalize kuongea akaja kijana mmoja kusikiliza kuangalia muhamala umefika ila kilichomfanya anifokee sikukiona nikaona ana shida na mawazo mengi sana hii sio mara ya kwanza sheri nyingi sana kauli mbovu sana
 
Kuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba

Wakaanza kunifokea kwanini unalipia kwa lipa namba na usemi maneno yalikuwa mengi sana nikakosa cha kumjibu na muangalia amalize kuongea akaja kijana mmoja kusikiliza kuangalia muhamala umefika ila kilichomfanya anifokee sikukiona nikaona ana shida na mawazo mengi sana hii sio mara ya kwanza sheri nyingi sana kauli mbovu sana
Ungemchapa hata makofi mawili awe na adabu
 
Tatizo kubwa ni mishahara maisha magumu wanauza Nyapu na mikuyundu kama hawana wazazi
Kwa hiyo hasira huzitoa hasa kwetu sisi wenye Toyo ukiwa na gari Wana heshima kidogo mbwa wale...

Huku wanalipqa 150-200k Kwa mwezi
Sasa geto zuri self hapa kitaa ni 70-100k je atatoboa asipouza kisimbuzi chake? Wanaume nao mikiyundu Iko hatarini kupoteza marinda yake ni kuwaombea usiku na mchana.

Yangu ni hayo.

NB: Mvua zinavyoendelea hizi ni nzuri mno Kwa kilimo Cha Watoto.
Mchambuzi
 
Back
Top Bottom