Hivi wafanyakazi wa sheli wana shida gani?

Wanatukwaza kama una hasira unaweza piga mtu
 
Lakini mkuu mwachi, Shell hawapo tena Tanzania 🤣 au ilikuwa total energies, lake oil au nani😀
😂😂 tushazoea kuita ivyo na sio petro station
 
Kwanini boss
Sheli nying zenye wateja wengi huwa nikifika ni kama sionekani(afu hii huwa inanitokea hata kwenye mambo mengine,unaweza msemesha mtu hata asikujibu ni kama hakusikii Mshana Jr anisaidie hii)

sipendag foleni kabisa,hata nikiwaga kwenye sehem wanazotoa chakula kwa foleni huwa nakuwa wa mwsho napata chakula kidogo au kukosa kabisa
 
We itakuwa unaonekana kauzu sana
 
Kabla ya kutunga story muwe mnafanya utafiti. Hata pikipiki huna. Wewe Tanzania hii wapi umeona vituo vya mafuta vya SHELI? WEWE ULIONA WAPI?
 
Juzi Nilienda sheri moja Hapa Mjini nikampa Dada efu 75 anijazie mafuta badae nikamwambia Fanya kuongeza yawe ya lak tu akasema Kwanini hukusema na kujipanga toka Mwanzo amshukuru nilikuwa na mwanamke ambaye sikutaka ajue Tabia YANGU mapema nikavunga nikamwambia Samahani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…