Hivi Waganda wana tatizo gani?

Hivi Waganda wana tatizo gani?

Hivi kuna Mtanzania hafahamu lugha yake ya asili au ni ile umetype tu ili uonekane na wewe umetype.
Unajua humu ukishawachana ukwel wanatoka kwenye mada wanaanza kubishana sasa unawakubalia tu ndio Mimi siijui lugha Yangu unaijua wewe bc
 
Sasa kama wao wanazo nyingi bc na unataka waTz tuzijue na wao wajue lugha zetu zaidi ya 121 sasa cjui wataweza kama ukijidai wanazo nyingi A. Mashariki hii hamna nchi inayoweza kuifikia Tanzania kwa lugha nyingi za kikabila ila cc tuna akili sana tukatafuta lugha 1 ambayo hiyo lazima kila kabila aijue sasa ukituambia wanazo nyingi hatukuelewi unaongelea ufahari wa lugha ama ?
Nimeelewa kilichomlazimu Mw.JKN kulilazimisha lugha moja( Kiswahili) happy bongo.
 
Asikudanganye mtu Wabanganda hawawapendi Watanzania na Kiswahili kwa ujumla! Wote niliopata kukutana nao wanadai Nyerere aliwadhulumu kwa kuwa rafiki wa Obote na kuwanyima fursa ya kuitawala Uganda kama kabila kubwa. Pia wanaichukia TPDF na mtoto wake UPDF! Kingine suala la Uganda ku-support infrastructure kuja Tanzania ina sura nyingi! Na imetokana na topographic nature na geopolitics of the region!

Ironically If it was for Museveni wishes all SGR to Rwanda n South Sudan would have to pass through Uganda first, meaning an exposure of the future of these 2 countries to another landlocked country while strategically giving Uganda a more influence on regional affairs!

A thing these 2 countries find securitywise unpragmatic since each can have access to the sea direct through one coastal country n hence minimising the risk to bargain with 2 regimes to access the seas! As for Rwanda has already backed down from COW said to be the reason for their recently bad blood with Uganda as Museveni feels his economic big agenda for the region is betrayed! But South Sudan is left hanging due to its instability at home n a strong grip by Museveni on its affairs.

Another issue here is indecisiveness by Kenya as it's was left hanging with no choices on where to put much weight. Her neglect of her Northern frontier made them vulnerable to Uganda chess game as far as south Sudan is concerned! Insecurity up north couldn't help it either.

Kenya wants both south Sudan n Uganda n counted heavily on Uganda's generosity towards LAPSSET not knowing South Sudan is Museveni's token to his economic n geopolitical influence. Any access to that country outside Uganda is a threat to Uganda's interests there having invested on infrastructure! A reason they gunned for a pipeline to Mombasa during route negotiations.

To me the opportunities to Tanzania availed itself on silver platter due to first, the contradicting self interests btn Museveni n Kagame in one side. And secondly the underestimation of Tanzania by Kenya towards Uganda's oil. Kenya believied it can't be bypassed n therefore failed to do effective diplomatic manouvres that could offer a win win scenario to Uganda's regional interests. Not to forget is how JPM capitalised on the situations by strategically vesting all the resources to the great Lake region from his first budget upon ascending to power.

As for now Uganda is playing cat n mouse game, her plan for SGR is shelved not instead took a loan to revamp railway to Gulu. Museveni knows Uganda is that bride wanted by two potential suitors n no matter what circumstances two SGRs will reach lake Victoria though who will be first is unknown!

Unlike JK's era that put much emphasis to the Southern gas resources, JPM is playing a waiting game n the recent floods that destroyed much of Nacala port in Mozambique have come to his aid in disguise! The momentum to first LNG by multinational companies at Cabo Delgado in Mozambique has cooled down.

Even attempts by rival Kenya to draw Tanzania's attention to the south through bypassing central corridor is quashed! All landlocked countries of Malawi, Zimbabwe n Zambia r back in full gear back to Dar port giving more time to Mtwara port expansion n a remaining road link to Malawi to finish. Who knows probably a railway will come after as Malawi seem enticed with her massive coal needs a shorter gateway to overseas.
Kwa miezi kadhaa niliyoishi Uganda, I beg to differ with you, Waganda wanapapenda sana Tanzania.
 
Kwa miezi kadhaa niliyoishi Uganda, I beg to differ with you, Waganda wanapapenda sana Tanzania.
Baganda hawapendi Kiswahili jaribu kuchunguza! Watakupa sababu za kijinga kwa vile wanajeshi wa Uganda esp. Amin wakikuwa wanatumia Kiswahili. Wakati Kiswahili ni lugha ya jeshi tangu kipindi cha mkoloni!
 
Huwa wanatabia ya kujisikia saana na hawakipendi kiswahili kbsa ila binafsi sijui kinachowafanya wajickie ni nini maana kwa east africa wako nyuma kuanzia maendeleo hadi uzuri wa sura watu wengi huwa wanawacheka tu na kuwaangalia.I dnt know what are they proud off!
 
Waganda ni watu wanaojisikia sana na kujiona wako class tofauti na watu wengine wa east Africa, ndio maana sio jamii forum peke yake bali hata kwenye maisha ya kawaida Waganda hawachangamani sana na wengine kama vile sisi wa TZ tunavyojichanganya na wakenya...
Waganda kwa kiasi fulani wanafanana na wale ndugu zetu wa Kagera.
 
Kwa nini Waganda siyo wengi JamiiForums au hawafahamu kuwa kuna JF inayozungumzia maswala ya Afrika Mashariki, tatizo nini maana hapa EA news hata Kingereza kinatumika?

Ni ajabu Litanzania limoja kudhani dunia nzima nilazima wajue Kiswahili na waje JF kuongea na Watanzania na Wakenya!

Wa east africa ni lazima waijue JF....what the fvck is JF?

JF unaijua wewe na baadhi ya Wakenya kadhaa,sio obligation ya east africa nzima kuijua JF!

Waganda wana platforms zao kama KLA Chat nk,waijue JF waipeleke wapi?

Kama ni lazima,mbona Rwanda,Burundi na South Sudan huzilalamikii?

JF ni kidude kidogo tu EA!

Watu wana tamaduni mbalimbali na muingiliano mbalimbali

Uganda iko more closer na Rwanda,DRC na South Sudan,sio lazima wajipendekeze na Tanzania ndio waonekane

Una matatizo ya cultural supremacy,unadhani the whole world should bend towards Tanzania!

Yaani upo in your own chamber na unadhani hiyo chamber ni centre of the world!

Eti JF,eti Tanzania,nchi zingine lazima wawafuate,nenda duniani huko ndio utajua kwenye hii dunia where you come from ni the bottom of the toilet!
 
Ni ajabu Litanzania limoja kudhani dunia nzima nilazima wajue Kiswahili na waje JF kuongea na Watanzania na Wakenya!

Wa east africa ni lazima waijue JF....what the fvck is JF?

JF unaijua wewe na baadhi ya Wakenya kadhaa,sio obligation ya east africa nzima kuijua JF!

Waganda wana platforms zao kama KLA Chat nk,waijue JF waipeleke wapi?

Kama ni lazima,mbona Rwanda,Burundi na South Sudan huzilalamikii?

JF ni kidude kidogo tu EA!

Watu wana tamaduni mbalimbali na muingiliano mbalimbali

Uganda iko more closer na Rwanda,DRC na South Sudan,sio lazima wajipendekeze na Tanzania ndio waonekane

Una matatizo ya cultural supremacy,unadhani the whole world should bend towards Tanzania!

Yaani upo in your own chamber na unadhani hiyo chamber ni centre of the world!

Eti JF,eti Tanzania,nchi zingine lazima wawafuate,nenda duniani huko ndio utajua kwenye hii dunia where you come from ni the bottom of the toilet!
Nani kakushika matako?
 
Hizo ni hoja au viloja
Wenzako wanakungoja milembe
Wakakujibu you not alone

“Viloja” ndio mavi gani?

Kiswahili hujui,Kingereza hujui halafu upo humu kutukana watu?

Nenda improve your communications skills halafu ndio ulete matako hapa!

Mimi wa Mirembe halafu hapo hapo unakaa hapa kubishana na mtu huyo huyo wa Mirembe?

Nani atajua difference yako na mimi wa Mirembe?

Again:

Viloja=Viroja

Milembe=Mirembe

Kiswahili chako kiko ICU aisee!
 
No one pay me for speak good English or good Swahili big ass

Hahahaa

Kama unatakiwa kuongea lugha fulani kwa ufasaha kwa kulipwa pesa basi utakua kichaa wewe!

Tunatumia lugha kama tool ya communications kuturahisishia maelewano baina yetu na watu wanaozungumza lugha hiyo!

Na hatuna budi kua fasaha!

Hujui Kiswahili wala hujui Kingereza!

Kwavile upo poor in those languages then umegeuka kuwachukia wanaojua ili ku compensate your ego for not knowing!

Mimi big ass,wewe small ass,we are all still asses!

Mavi makubwa na mavi madogo yote mavi!

Hii nchi sijui tutaweza nini aisee!
 
Mm najitosheleza napata elfu 55000 Kwa siku wewe na kingereza chako kimekusaidia nini uenda unategemea mshahara wa serikali

Unacheck sasa?

You have gone total monkey see monkey do!

Total ape shit!

Plus sipo hapa kushindana na low league earners kama wewe!

Yaani 55,000/= kwa siku then unaongea?

Come to the big leagues!

Once you hit 1mil Usd earnings,come talk shit here!
 
Unacheck sasa?

You have gone total monkey see monkey do!

Total ape shit!

Plus sipo hapa kushindana na low league earners kama wewe!

Yaani 55,000/= kwa siku then unaongea?

Come to the big leagues!

Once you hit 1mil Usd earnings,come talk shit here!
Hongera rodi rofa mm kwangu lugha pekee ninayo thamini ni lugha ya logic basi mambo ya R L H kuchanganya siyo kitu cha msingi
 
Back
Top Bottom