Kwa nini Waganda siyo wengi JamiiForums au hawafahamu kuwa kuna JF inayozungumzia maswala ya Afrika Mashariki, tatizo nini maana hapa EA news hata Kingereza kinatumika?
Ni ajabu Litanzania limoja kudhani dunia nzima nilazima wajue Kiswahili na waje JF kuongea na Watanzania na Wakenya!
Wa east africa ni lazima waijue JF....what the fvck is JF?
JF unaijua wewe na baadhi ya Wakenya kadhaa,sio obligation ya east africa nzima kuijua JF!
Waganda wana platforms zao kama KLA Chat nk,waijue JF waipeleke wapi?
Kama ni lazima,mbona Rwanda,Burundi na South Sudan huzilalamikii?
JF ni kidude kidogo tu EA!
Watu wana tamaduni mbalimbali na muingiliano mbalimbali
Uganda iko more closer na Rwanda,DRC na South Sudan,sio lazima wajipendekeze na Tanzania ndio waonekane
Una matatizo ya cultural supremacy,unadhani the whole world should bend towards Tanzania!
Yaani upo in your own chamber na unadhani hiyo chamber ni centre of the world!
Eti JF,eti Tanzania,nchi zingine lazima wawafuate,nenda duniani huko ndio utajua kwenye hii dunia where you come from ni the bottom of the toilet!