Hivi wagombea uongozi wa chadema ngazi ya taifa wana misimamo ipi na mikakati gani kuhusu suala la kupambana na kutokomeza ushoga nchini Tanzania?

Tukijenga famili zetu vizuri, huo ushoga hautokaa utokee.

Ila ndio hivyo, sisi ni mahodari wa kunyooshea vidole familia nyingine wakati zetu huku hatujui nini kinaendelea.

Inahuzunisha sana kusikia ndgu yako kawa punga.
 
Wewe vp mbona hueleweki??
Kazi hiyo si ya kilamtu unataka uwaachie viongozi wa chadema?
open up your mind gentleman,

yaani kazi ya kupambana na ufirauni ni ya watu specific na sio ya kila mtu? kweli?πŸ’

are you okay? or you are among victims πŸ’
 
Kwani hao viongozi Ndio watakuletea Mabasha kwa mtutu wa bunduki?

Yaaani wewe binafsi umejianaaje? 🐼
maana yake unataka kuwasemea kwamba,
completely hao wagombea hususani vibaraka wa mabenyenye ya magharibi hawana kabisa mipango mikakati ya kupambana na kutokomeza rushwa na ufisadi, ushoga, utoaji mimba na usagaji, ukimwi, ugaidi n.k. right?

au hizo changamoto hazipo ndani wala nje ya chadema Tanzania na nje ya Tanzania πŸ’
 
Duh

Ova
 
Kiwanda cha sanaa na media nyingi bongo zina mashoga na wana support mambo hayo

Ova
 
Tukijenga famili zetu vizuri, huo ushoga hautokaa utokee.

Ila ndio hivyo, sisi ni mahodari wa kunyooshea vidole familia nyingine wakati zetu huku hatujui nini kinaendelea.

Inahuzunisha sana kusikia ndgu yako kawa punga.
hilo ni muhimu sana,

Lakini tayari vijanaa wetu ndani ya vyama vya siasa, mtaani, ndani na nje ya nchi wanapitia madhila haya kama viongozi wagombea ndani ya chadema, unadhani inafaa wawe na mikakati gani kuwaokoa waliozama tayari katika tope la ufirauni?πŸ’
 
Hiyo ni kazi ya Serikali ambako nasikia wamejaa kwenye ngazi mbali mbali! Makonda alipotaka kulivalia njuga na Wazungu walipoanza kuwa wakali na kutishia kutunyima misaada Serikali ya Mwendazake ilimruka tena na kusema huo siyo msimamo wa serikali.
so gentleman,
unakiri kwamba tatizo lipo right?

sasa,
wagombea uongozi wa chadema Taifa yafaa wawe na mbinu na mikakati gani mbadala dhidi ya fedheha hii inayoendelea kuharibu wanachama wa vyama vya siasa nchini na nje ya nchi?πŸ’
 
Waliounda serikali ni cdm? Uchawa unakusumbua. Tafuta shughuli halali za kufanya, unaweza kuta hata ww ni sh..ga tu
Gentleman,
wanachama na mashabiki wa vyama vya siasa hususani chadema ndani na nje ya nchi wanateseka sana na ufirauni,

wagombea uongozi wa chadema Taifa wana mikakati gani mbadala dhidi ya vijanaa wao wanaoteswa na jinamizi hili la ushoga?πŸ’
 
Sio vipeumbele vyao hizo tabia
Gentleman,
kwahiyo wanatazama tu na kufurahia ufirauni na usagaji wa wanachama wao ndani na nje ya nchi, right?

kwa unavyowaona kwa sura zao,
wanaweza kua wanashiriki uchafu huo? mathalani na wao wanashiriki ndoa za kifirauni za jinsia moja hususani wanapokua ughaibuni?πŸ’
 
Haya maswala ya kitaifa mbona 24/7 ni kuhusu CHADEMA! ? Au CHADEMA ndio Taifa lenyewe?
 
Samia na CCM wamezuia ushoga kuenea nchini kwa kiasi gani au wao ndio wametengeneza mazingira ya kustawi zaidi?
 
Samia na CCM wamezuia ushoga kuenea nchini kwa kiasi gani au wao ndio wametengeneza mazingira ya kustawi zaidi?
Gentleman,
ni muhimu zaidi ukaandika hoja mahususi mezani wadau wachangie kwa mapana yake.

Nadhani ni jambo la maana sana ukajikita kwenye hoja ya msingi mezani tunapoelekea kwenye uchuguzi wa chadema Taifa πŸ’
 
Serikali ya CCM imekuwa na mkakati gani? Kwa nini hilo tatizo lipo na wakati Serikali iliyokuwepo madarakani sasaivi ni hiyo ya chama chako CCM?
 
Haya maswala ya kitaifa mbona 24/7 ni kuhusu CHADEMA! ? Au CHADEMA ndio Taifa lenyewe?View attachment 3199391
kitaalamu,
ni muhimu sana kuwapima wagombea uongozi hususani wa chadema ngazi ya taifa kwa maswali ya maana na magumu ili kusudi kufanya maamuzi sahihi siku ya uchaguzi,

viginevyo mnaweza kujikuta mnachagua kiongozi wa chama firauni na mtetezi wa usagaji na utoaji mimba.

hii itakua hatari zaidi kwa vijanaa wetu nchin. So, mambo haya ni vema yakapewa uzito unaostahili ndugu zangu wadau wa heshima sana humu JF,

Msifanye mzaha wala masikhara kwenye mambo ya ushoga, utoaji mimba na usagaji πŸ’
 
We ni pumbavu sana punga wewe.
Yaani waache majukumu yaliowafikisha hapo waendelee kukoboa nya.
Nabii Tito si angekua tajiri.
Na bosi wenu muulize abishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…