Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Tukijenga famili zetu vizuri, huo ushoga hautokaa utokee.Tafiti sirikalini zinasema ushoga na usagaji, ubakaji asilimia kubwa waathiriwa hufanyiwa na member wa familia au Watu wa karibu. Kwaiyo kabla ya kuitwisha serikali mzigo wa kukunja samaki aliye kauka, tungeongeza ufuatiliaji wa karibu wa mabinti na vijana wetu, tunaishi kwenye zama ambazo ni hatari sana kuacha Watu Baki wakulele mtoto/watoto wako.
Ila ndio hivyo, sisi ni mahodari wa kunyooshea vidole familia nyingine wakati zetu huku hatujui nini kinaendelea.
Inahuzunisha sana kusikia ndgu yako kawa punga.