Hivi wagombea uongozi wa chadema ngazi ya taifa wana misimamo ipi na mikakati gani kuhusu suala la kupambana na kutokomeza ushoga nchini Tanzania?

Hivi wagombea uongozi wa chadema ngazi ya taifa wana misimamo ipi na mikakati gani kuhusu suala la kupambana na kutokomeza ushoga nchini Tanzania?

Tafiti sirikalini zinasema ushoga na usagaji, ubakaji asilimia kubwa waathiriwa hufanyiwa na member wa familia au Watu wa karibu. Kwaiyo kabla ya kuitwisha serikali mzigo wa kukunja samaki aliye kauka, tungeongeza ufuatiliaji wa karibu wa mabinti na vijana wetu, tunaishi kwenye zama ambazo ni hatari sana kuacha Watu Baki wakulele mtoto/watoto wako.
Tukijenga famili zetu vizuri, huo ushoga hautokaa utokee.

Ila ndio hivyo, sisi ni mahodari wa kunyooshea vidole familia nyingine wakati zetu huku hatujui nini kinaendelea.

Inahuzunisha sana kusikia ndgu yako kawa punga.
 
Wewe vp mbona hueleweki??
Kazi hiyo si ya kilamtu unataka uwaachie viongozi wa chadema?
open up your mind gentleman,

yaani kazi ya kupambana na ufirauni ni ya watu specific na sio ya kila mtu? kweli?🐒

are you okay? or you are among victims 🐒
 
Kwani hao viongozi Ndio watakuletea Mabasha kwa mtutu wa bunduki?

Yaaani wewe binafsi umejianaaje? 🐼
maana yake unataka kuwasemea kwamba,
completely hao wagombea hususani vibaraka wa mabenyenye ya magharibi hawana kabisa mipango mikakati ya kupambana na kutokomeza rushwa na ufisadi, ushoga, utoaji mimba na usagaji, ukimwi, ugaidi n.k. right?

au hizo changamoto hazipo ndani wala nje ya chadema Tanzania na nje ya Tanzania 🐒
 
Gentleman,
sasa hii akili mingi ambayo niko nayo, yenye masuala na maswali mengi ya Kitaifa na kimatafa kwa faida ya wananchi, nitamuachia nani na mimi si muchoyo wa maaraifa, utaalamu na ujuzi ambae pia ni mwepesi wa kutoa mawazo mapya na fikra mbadala kwaajili ya kuongeza uelewa na ufahamu wa wadau wa JF kuhusu mambo haya ya kisiasa hususani kuelekea uchuguzi wa chadema Taifa?

nachokaje kwa mfano,
wakati mambo haya nayafanya kwa Neema na Baraka za Mungu?🐒
Duh

Ova
 
Kiwanda cha sanaa na media nyingi bongo zina mashoga na wana support mambo hayo

Ova
 
Tukijenga famili zetu vizuri, huo ushoga hautokaa utokee.

Ila ndio hivyo, sisi ni mahodari wa kunyooshea vidole familia nyingine wakati zetu huku hatujui nini kinaendelea.

Inahuzunisha sana kusikia ndgu yako kawa punga.
hilo ni muhimu sana,

Lakini tayari vijanaa wetu ndani ya vyama vya siasa, mtaani, ndani na nje ya nchi wanapitia madhila haya kama viongozi wagombea ndani ya chadema, unadhani inafaa wawe na mikakati gani kuwaokoa waliozama tayari katika tope la ufirauni?🐒
 
Hiyo ni kazi ya Serikali ambako nasikia wamejaa kwenye ngazi mbali mbali! Makonda alipotaka kulivalia njuga na Wazungu walipoanza kuwa wakali na kutishia kutunyima misaada Serikali ya Mwendazake ilimruka tena na kusema huo siyo msimamo wa serikali.
so gentleman,
unakiri kwamba tatizo lipo right?

sasa,
wagombea uongozi wa chadema Taifa yafaa wawe na mbinu na mikakati gani mbadala dhidi ya fedheha hii inayoendelea kuharibu wanachama wa vyama vya siasa nchini na nje ya nchi?🐒
 
Waliounda serikali ni cdm? Uchawa unakusumbua. Tafuta shughuli halali za kufanya, unaweza kuta hata ww ni sh..ga tu
Gentleman,
wanachama na mashabiki wa vyama vya siasa hususani chadema ndani na nje ya nchi wanateseka sana na ufirauni,

wagombea uongozi wa chadema Taifa wana mikakati gani mbadala dhidi ya vijanaa wao wanaoteswa na jinamizi hili la ushoga?🐒
 
Sio vipeumbele vyao hizo tabia
Gentleman,
kwahiyo wanatazama tu na kufurahia ufirauni na usagaji wa wanachama wao ndani na nje ya nchi, right?

kwa unavyowaona kwa sura zao,
wanaweza kua wanashiriki uchafu huo? mathalani na wao wanashiriki ndoa za kifirauni za jinsia moja hususani wanapokua ughaibuni?🐒
 
Gentleman,
sasa hii akili mingi ambayo niko nayo, yenye masuala na maswali mengi ya Kitaifa na kimatafa kwa faida ya wananchi, nitamuachia nani na mimi si muchoyo wa maaraifa, utaalamu na ujuzi ambae pia ni mwepesi wa kutoa mawazo mapya na fikra mbadala kwaajili ya kuongeza uelewa na ufahamu wa wadau wa JF kuhusu mambo haya ya kisiasa hususani kuelekea uchuguzi wa chadema Taifa?

nachokaje kwa mfano,
wakati mambo haya nayafanya kwa Neema na Baraka za Mungu?🐒
Haya maswala ya kitaifa mbona 24/7 ni kuhusu CHADEMA! ? Au CHADEMA ndio Taifa lenyewe?
1736663437258.jpg
 
Maana wathirika wakubwa wa fedheha hii ni pmoja na watoto wao, ndugu, jamaa, marafiki, wanachama wa chadema wafuasi wa chadema na waTanzania kwa ujumla..

Je,
ni ipi hasa mipango mikakati yao katika kukabiliana na ufirauni huo, ikiwa watapata fursa ya kuiongoza chadema Taifa?

au itakua ni aibu zaidi, kwamba ufirauni ni haki kama ambavyo iko huko kwa mabwenyenye wanaowafadhili baadhi ya vibaraka wao wanaogombea uongozi kwenye uchaguzi huu muhimu wa chadema ngazi ya Taifa?

kama mdau wa siasa,
unadhani hawa wagombea uongozi wa chadema taifa ,wamejiandaa kupambana na hiyo fedheha, ukiwatizama hata kwa sura zao tu?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Samia na CCM wamezuia ushoga kuenea nchini kwa kiasi gani au wao ndio wametengeneza mazingira ya kustawi zaidi?
 
Samia na CCM wamezuia ushoga kuenea nchini kwa kiasi gani au wao ndio wametengeneza mazingira ya kustawi zaidi?
Gentleman,
ni muhimu zaidi ukaandika hoja mahususi mezani wadau wachangie kwa mapana yake.

Nadhani ni jambo la maana sana ukajikita kwenye hoja ya msingi mezani tunapoelekea kwenye uchuguzi wa chadema Taifa 🐒
 
Serikali ya CCM imekuwa na mkakati gani? Kwa nini hilo tatizo lipo na wakati Serikali iliyokuwepo madarakani sasaivi ni hiyo ya chama chako CCM?
 
Haya maswala ya kitaifa mbona 24/7 ni kuhusu CHADEMA! ? Au CHADEMA ndio Taifa lenyewe?View attachment 3199391
kitaalamu,
ni muhimu sana kuwapima wagombea uongozi hususani wa chadema ngazi ya taifa kwa maswali ya maana na magumu ili kusudi kufanya maamuzi sahihi siku ya uchaguzi,

viginevyo mnaweza kujikuta mnachagua kiongozi wa chama firauni na mtetezi wa usagaji na utoaji mimba.

hii itakua hatari zaidi kwa vijanaa wetu nchin. So, mambo haya ni vema yakapewa uzito unaostahili ndugu zangu wadau wa heshima sana humu JF,

Msifanye mzaha wala masikhara kwenye mambo ya ushoga, utoaji mimba na usagaji 🐒
 
We ni pumbavu sana punga wewe.
Yaani waache majukumu yaliowafikisha hapo waendelee kukoboa nya.
Nabii Tito si angekua tajiri.
Na bosi wenu muulize abishe.
 
Back
Top Bottom