Hivi wakati mwingine huwa tunalaumu wanaume pasipo kujua?


Sikatai FirstLady1 kashauri wanaume kuombewa. Na nyie wanaume muwe mnajiombea kupambana na vishawishi. Unakuta unamuombea mtu halafu anakuambiwa shetani kampitia. Agrrr!!

Kunguru hafugiki🙂) ha ha ha

IMF chief siyo uchawi jamani, lol..tamaa za mwili!!
 
Kwa kweli mie inabidi tu niwe nae siwezi ku keep vizuri nyumba yote mwenyewe, la sivo niache kazi nifanye kazi.Kuna vimambo vingine unakuwa unamsimamia na mambo yanaenda sawa. Nashukuru Mungu haijanitokea
 

bila msaada wa mumeo hakuna kitu hapo, unaweza kujitutuma we kumbe mwnaume ana ulafi wake, mlafi ni mlafi tu hata ujitutume kivipi, ni kuomba Mungu sana., we unaweza kuona unafanya kila kitu kwake but mwenzio tamaa zinamsumbua na ana nia ya kufanya na atafanya tu kutimiza matakwa yake, nyie hizi ndoa zioneni hivyo hivyo tu.
 

kama kuna imani na hizo dawa, huko nje hawezi kuwekewa na kimada au cz hapa amemkuta nazo live?....
 


nina frnd wangu, ikifikia hapo mtoto/hgal anawahamishia kwa mama yake mpaka atakaporudi, baba ndio muda wake wa kula manyama choma bar, ni kuumiza kichwa mtindo mmoja ukiwa na wazo la kumchunga mwanaume, nashukuru cjawahi kuwa na h/g haya mambo ya kidunia nayo yana wenyewe angenikosesha amani sana binti kama huyu.
 
Ni kuomba tu Mungu aepushe, sijioni kabisa bila wasaidizi
 
Wadada wa kazi wanavisa jamani...my wyf stil anasoma chuo kikuu flan hapa nchini na yuko third year and this is her last semista. Yuko na mtoto wetu ambaye ana miezi tisa sasa na nimewapangishia chumba pembeni kidogo ya chuo. Mdada anaemsaidia kazi na kumtunza mtoto pind awapo chuo ana visa vyake balaa. Majuzi mama mtoto pindi anaondoka kwenda chuo mtoto alikuwa anamlilia but [SIZE=+0]ilimbidi aende na mwana kubakia na dada wa kazi. Mama mtu alitoka nje ya nyumba kwenda chuo but alichungulia dirishani kuona kama bado mtoto analia. Alichokishuhudia ilibidi aghairi hata kwenda kwenye kipindi. Alimuona dada wa kazi anampa mtoto ziwa lake anyonye (sijui kumnyamazisha au alikuwa na maana gani?) Nikajiuliza magonjwa anayoweza kumwabukiza mtoto even na sisi wazazi wake pia na athari zingine....Baada ya kupewa habari hiyo kwa kweli stil nafikiria maamuzi ya kutoa .....na ikiwezekana ndio tabia yake huyo beki tu kila mama mtoto awapo chuo anampa hiyo maneno. Je nimfukuze au apewe karipio kali ? Nataka nikampime pia na mtoto hospitali...[/SIZE]
 

yaani wewe ndio mwenye maamuzi juu ya h/g? cheii, poleni sana, huyo alikuwa ana nia ya kumnyamazisha na mtoto inaelekea kashazoea kunyamazishwa kihivyo na ananyamaza, mie kama mie cjajua bado ningemfanyaje huyo h/g
 

FL1 Salama?
Mwambie huyo mama azidishe maombi
Hakuna kinachoshindikana kwa Mungu
 
Sisi wanaume tunawindwa sana kila kona!nani mwili huu!limbwata sisi,mahouse gal sisi,nyumba ndogo ni sisi,walioko mtaani wanatutamani sisi jamani tutakuwa wageni wanani?
Kamanda huu ndio ukweli wenyewe. Ni ukweli unaouma kwamba siku zote wanawake ndio vishawishi lakini wanapenda kutupa zigo la lawama kwa wanaume. Wewe imagine waifu wako yuko holidei, halaf unafanya kazi na mdada anakufata ofisini halaf anakuonesha kipele cha upaja eti umsaidie atumie dawa kipone. khaaa! halaf unaamua kukikigusa gusa kipele unaona mdada anahema skioni kwako anajifanya "k i naa uma", hivi utamkumbuka waifu kweli hapo?. Dah! Mie naona wabakaji wapewe msamaha wa rais tu, sio kosa lao kabisa.
 
Naomba side effects za hicho kitendo kwa mtoto nyamayao....then suala la maamuzi tutafanya na wyf this wikiend nikienda waona.
 

Sasa naanza kuelewa kwa nini house girls huwa hawakai nyumbani kwangu. Nimekuwa na hause girls kama wanne hivi na hukaa muda kidogo tu kama miezi 4 hivi na huanza vituko na mara moja wanaondoka. Offcourse mmoja tulikuja kugudua kuwa ni mchawi. Hawa wa kwangu hawaondoki kwa sababu sina uwezo. Ninamshukuru MUNGU kwa hicho nilichonacho ila kwangu huwa wanaondoka kwa sababu matunguli yao hugonga ukuta maana nimefunikwa na damu ya YESU. Oooooh!, BWANA YESU Jina lako libarikiwe na sante kwa kazi yako pale msalabani maana imeniweka huru mbali na kazi za wachawi.
 
Hii na iwe somo kwa akina mama ambao wamesahau kwamba maandiko yanawataja wao kuwa ni wajenzi wa familia. Ni kweli huwezi fanya kila kitu kwa mumeo, kuna wakati msaada utatakiwa tu. Ndipo hapo unapotakiwa kumkabidhi Mungu kila kitu, na nahisi hata huyo mama amejikabidhi, vinginevyo thread ingekuja 'housegirl avujna ndoa ya bosi, mama anaomba msaada wenu wanajf'.

Pamoja na hayo kazi ya shetani ni kuharibu daima. Jamani tumuombe Mungu wetu.
 


Nakubaliana na maneno yako ndo maana paragraph yangu ya mwisho katika post yangu ni;

Note; Wanaume hawalindiki hasa akiwa na nia but at least ikitokea utasema "I tried my best but he is just a Ba****"

Siwezi tu bweteka eti kwa sababu hawashikiki, Nampenda mume wangu, na pamoja na kwamba tunaweza ishi maisha ya kisasa kuna vitu basics nazingatia... hata kama simridhishi naamin hata akiniacha nataka aende huko na a time ifike ajute kua kweli alifanya mistake... thats why unatolewa ushauri mnapoona mnataka kuachana na mwandoa wako its beta kutengana kwanza ili wote muwe na uhakika that is what you really want...

I try my best and if my best haitoshi kwake na aende zake.... Naamini kuna ku-fall in love, kuvunjwa moyo, ku-rise again na ku-fall again in love...Hope umenipata Nyamayao

 
Sisi wanaume tunawindwa sana kila kona!nani mwili huu!limbwata sisi,mahouse gal sisi,nyumba ndogo ni sisi,walioko mtaani wanatutamani sisi jamani tutakuwa wageni wanani?

Dah? Nimecheka sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…