BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
...Amen, amen 1stLady, pheeewwww!
unajua haya mambo sio hawa housemaids peke yao,
hata huko 'nyumba ndogo' unadhani inakuwaje?
Wanatuloga kweli hawa watu... heri tu mtuombee enyi wake zetu wapendwa.
Angalia IMF chief Dominique Strauss-Kahn nae alivyoponzeka maskini,
arrrghhhh,....huu uchawi umeenea sana duniani!
Sikatai FirstLady1 kashauri wanaume kuombewa. Na nyie wanaume muwe mnajiombea kupambana na vishawishi. Unakuta unamuombea mtu halafu anakuambiwa shetani kampitia. Agrrr!!
Kunguru hafugiki🙂) ha ha ha
IMF chief siyo uchawi jamani, lol..tamaa za mwili!!