Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

Watu wangeupitia ule uzi wa deception naamini kusingekuwa na mijadala inayoendelea kila kukicha, tuliomuelewa tumeelewa wanaondelea kutishwa na uongo wa wazungu waendelee kutishwa.

Ukimwi umekuwa kama story tu hauna uthibitisho wa kisayansi umebakia imani tu ya kuunganisha matukio na sentensi. Amkeeeniiii
 
I wish there were at least 100 million people in the World like you comrade,it would make such a huge deference.
 
download (1).jpg
 
Waafrika tunaruhusiwa kutengeneza pia.

Au ndio story za kuwa ukitengeneza unauwawa?
 
Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?

Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake,
mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti.

Nb. Ugonjwa wenyewe ulivyotulia utadhani haupo, tuwe makini bandugu ukimwi ni hatari.

1. Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu
2. Pima afya ili kujua hali yako
3. Epuka ngono zembe
4.Tumia kinga kila unapojamiiana.

Sambaza upendo, usisambaze ukimwi, stay safe always.
Sababu wenyewe wanaita "Big Pharma" au makampuni yanayouza ARV's yatafanya wapi tena biashara ya trillions of Dollars?
 
Back
Top Bottom