Hivi wakenya lugha yao kiswahili au kiingereza?

Status
Not open for further replies.
Kiswahili lugha ya Waswahili. Kiingereza lugha ya Waingereza.
 

Hapo penye nyekundu..... nenda Amerika ya kusini hamna zaidi ya kihispania na kireno...... pia nenda ulaya ya mashariki (kiingereza kipo chini sana), kati na Skandinavia kiingereza kipo kwa uchache sana.....
 
My children speaks English, French, Swahili, Luhya and Kikuyu and am so proud of them, such a diversity and ability. Very powerful future generation.
 
Kiswahili kinatawala mitaani Kenya na huo ndio ukweli.
 
Usikasirike. Ukikosea lugha za wengine ni vizuri kujisahihisha badala ya kuleta jazba!
Mbona nikasirike, umuhimu wa matumizi ya lugha ni kuelewana, kama wewe kilaza kiasi cha kutokuelewa nilicho kisema basi tatizo lako kubwa na sina suluhisho. Vile vile hakuna lugha ya wenyewe, hata Kiswahili kilitokana na Waarabu na sisi tumejifunza sote, lugha zote zipo kwa ajili ya binadamu kujifunza na kama wewe mvivu huna haja ya kujua zaidi ya moja basi hiyo ni shida yako. Sisi kwetu tunawahimiza watoto wetu kujifunza chochote kile na wana uwezo.
 
,Nimemuangalia sasa hivi kenyatta anahutubia wakenya nimeshangaa anatumia kiingereza.Wakati huohuo hollande anahutubia UN kwa lugha yake kifaransa.Hivi Waafrika ni ushamba au ujinga?
Naomba jibu
a na b yote sawa..
 
Wengi nyie manafiki tu, elites wengi tokea Tanzania kimya kimya wamewajaza watoto wao shule za private academies Nairobi zinazofundisha kwa lugha za kingereza, Kijerumani na Kifaransa. Huku wakiwandaganya walalahoi bongo wazidi kukomaa na Kiswahili eti ni uzalendo. Nafasi nyingi za kazi bongo ukiangalia kwenye mtandao huwa na maandishi kama haya "must be fluent both in English and Swahili". Tangu lini mtu akawa na ufasaha wa lugha bila kuitumia. Wacheni unafiki na muanze kuwahimiza watoto wenyu wajifunze lugha zaidi ya Kiswahili, wajifunze Kijerumani, Kingereza, Kihispania, Kichina nk dunia ya sasa ina ushindani mkubwa na bila uwezo huo basi mutabaki nyuma.
Hata Wajapani, Wachina nk wako mbioni kujifunza Kiswahili na Kingereza.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…