Hivi wakurya wana sifa gani kwenye ndoa?

Hivi wakurya wana sifa gani kwenye ndoa?

3/4 ya wakurya wana ukoloni sana(wababa) wanadidimiza sana haki za wanawake so kwao ni viumbe dhaifu mno
Familia nyingi za wakurya baba ni zaid ya gaid yaan huwez kukuta amecheka au ametabasam
Muda wote baba ni mtu serious sana yaan hamuwez hata kukaa nae sebulen kuangalia tv
Watoto wakisiikia baba karud hao kulala

Ukweli namshukuru Mungu kuzaliwa familia ya dini na iliyoelimika imenisaidia sana kutokuwa na element za kikurya
My dad is the best ukitukuta tunataniana hutaamin ni wakurya

But famiilia nyingi nilizotembelea aisee ni worse mpk najiuliza hawa hata unyumba wanapeanaje? Wanaombanaje?
Umeandika uongo mwingi sana. Ila basi tu
 
Ukweli mwingi
 
Zaidi ya kutembeza mkong'oto kwa wake zao na kuwa wakali wakali bila sababu sijui kama kuna sifa nyingine.
 
Mimi ni mkurya so naomba nikushaur ule ukweli kabisa

. Kma umepata msabato olewa wala usisite
. Kama umepata aliyekulia mjini olewa wala usisite
. Angalia wazazi wake utapata picha halisi ya alivyo kama wana dini na upendo na aman (peleleza usiangalie kwa macho) olewa

But

Kama ana uprimitive wa aina yoyote usiolewe utajuta mpk unakufa
Kama anaonesha dalili za hatari hata sahiz(hasira kali na ubabe) usiolewe utajuta
Kama kwao kuna ndoa za mitaala usiolewe utajuta
Kama hana dini(comited yeye na familia yake )usiolewe utajuta

Mm ni mkurya nalielewa kabila langu 100% ushaur zaid uliza au njoo pm
Mura tigha amang'ana ghayo
 
Back
Top Bottom