Hivi wakurya wana sifa gani kwenye ndoa?

Hivi wakurya wana sifa gani kwenye ndoa?

Pia wanakuwaga malaya hawajatulia!

Ndipo utashangaa Kwanini hawako fair?

Yaani Mwanaume anafanya cheating na mke anathibitisha halafu badala ya ku admit na kuwa humbled lakini ndio kwanza wanakuwa wakorofi na vipigo! [emoji848][emoji848]

Yani Mwanaume anakukosea kosa kubwa halafu anakukosea tena na kukuumiza moyo wako!

Imagine cheating ni kosa kwenye ndoa tena kubwa halafu anakuongezea kukubutua vipigo vya kufa mtu!

Hao jamaa mmnh ni noma sana!
Na huyu naemsema ni mkurya wa mjini, amesoma ni MD kabisa ila ni mbabe, Malaya sana anapiga mke wake hadi hurunama.
 
Ndiyo.

Imeandikwa mwanamke atawaacha baba yake na mama yake ataambatana na mumewe,

Nao hao hawatakuwa wawili bali mwili mmoja.

Wawili maana yake Mwanaume mmoja na mwanamke mmoja na sio vinginevyo.
Sasa ukristo umeingia nchini umekuta wakurya wanao wanawake wengi tu tena hakuna kikomo cha kuoa kwenye kwa wa kurya" kinacho mfanya mwanaume Kuto kuoa wanawake wengi ni nguvu ya uchumi ikiwa mbaya wanaoa wake wawili hiyo ni kima cha chini, kwaiyo tabia ya kuoa wanawake wengi ni maisha ya kijadi sisi wa Africa ni jamii ya kijadi, Nchi za Afrika kwenye mambo ya ndoa mambo mengi tunafana.
 
Jamaa fulani ambao hawana longolongo kwenye ndoa wapambanaji sana kwenye familia zao kwao 1 ni 1 nyeupe ni nyeupe

Tabia unazomuona nazo kwenye uchumba hazitobadilika ni hizo hizo

Lakini usimbane sana kwenye ndoa mpaka akajua unambana mpe nafasi.

Nb. Sio wote lakini wengi wao wako fresh sana.
Nakubaliana na ww
I wish nipate mkurya!
Nilidate na 1 Kwa muda mrefu kidogo!
Wana roho ya kusaidia pia,kupambana Kwa ajili ya familia nk
 
Mimi ni mkurya so naomba nikushaur ule ukweli kabisa

. Kma umepata msabato olewa wala usisite
. Kama umepata aliyekulia mjini olewa wala usisite
. Angalia wazazi wake utapata picha halisi ya alivyo kama wana dini na upendo na aman (peleleza usiangalie kwa macho) olewa

But

Kama ana uprimitive wa aina yoyote usiolewe utajuta mpk unakufa
Kama anaonesha dalili za hatari hata sahiz(hasira kali na ubabe) usiolewe utajuta
Kama kwao kuna ndoa za mitaala usiolewe utajuta
Kama hana dini(comited yeye na familia yake )usiolewe utajuta

Mm ni mkurya nalielewa kabila langu 100% ushaur zaid uliza au njoo pm
Hizo hapo juu uko sawa
Nilikuwa na mkurya msabato,aliyekulia mjini Kwa sehemu kubwa!
Kiukweli basi tu ni vile hatukufanikiwa kufika mwisho (kuoana) but namkubali sn
 
3/4 ya wakurya wana ukoloni sana(wababa) wanadidimiza sana haki za wanawake so kwao ni viumbe dhaifu mno
Familia nyingi za wakurya baba ni zaid ya gaid yaan huwez kukuta amecheka au ametabasam
Muda wote baba ni mtu serious sana yaan hamuwez hata kukaa nae sebulen kuangalia tv
Watoto wakisiikia baba karud hao kulala

Ukweli namshukuru Mungu kuzaliwa familia ya dini na iliyoelimika imenisaidia sana kutokuwa na element za kikurya
My dad is the best ukitukuta tunataniana hutaamin ni wakurya

But famiilia nyingi nilizotembelea aisee ni worse mpk najiuliza hawa hata unyumba wanapeanaje? Wanaombanaje?
Uko sawa kabisa
 
Back
Top Bottom