Hivi wakurya wana sifa gani kwenye ndoa?

Hivi wakurya wana sifa gani kwenye ndoa?

MKE AKATWA MASIKIO NA MUMEWE NA KUTOWEKA NAYO, ASIMULIA MKASA WOTE

Doricas Richard (23)MKAZI wa mtaa wa bible wilayani sumbawanga amekatwa masikio yake yote mawili na mpenzi wake aitwae Chacha Nyang'oso mkurya mfanyabiashara na mkazi wa Sumbawanga ambaye kaondoka na masikio yote huku akimtishia kuwa iwapo atazungumza sehemu yoyote atamuua. Kisa cha tukio hilo kinadaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.View attachment 2068920


Chanzo : Millard Ayo
Inasikitisha
 
Inategemea unataka Mkurya yupi wa mjini alistarabishwa na mji au yule original toka Mara ?

Wa mjini hana tofauti na wanaume wengine ila viashiria ya poti poti lazima atakuwa navyo, kama ukileta ujinga unachezea kichapo fasta..

Original yeye ni moto mara moja hana kulemba ...
 
Kupiga,jamaa wanapiga hatar afu mke Hata hadai talaka kuna jirani yetu alikua anampiga mkewe mpaka anampasua afu kesho yake mnawaona hao pamoja,,kuna siku alimrushia yale masimbi makubwa kama yale wanayouza shoppers nje afu mashemeji zake walikuwepo tu wanaangalia [emoji1373]
 
Inategemea unataka Mkurya yupi wa mjini alistarabishwa na mji au yule original toka Mara ?

Wa mjini hana tofauti na wanaume wengine ila viashiria ya poti poti lazima atakuwa navyo, kama ukileta ujinga unachezea kichapo fasta..

Original yeye ni moto mara moja hana kulemba ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ni mkurya so naomba nikushaur ule ukweli kabisa

. Kma umepata msabato olewa wala usisite
. Kama umepata aliyekulia mjini olewa wala usisite
. Angalia wazazi wake utapata picha halisi ya alivyo kama wana dini na upendo na aman (peleleza usiangalie kwa macho) olewa

But

Kama ana uprimitive wa aina yoyote usiolewe utajuta mpk unakufa
Kama anaonesha dalili za hatari hata sahiz(hasira kali na ubabe) usiolewe utajuta
Kama kwao kuna ndoa za mitaala usiolewe utajuta
Kama hana dini(comited yeye na familia yake )usiolewe utajuta

Mm ni mkurya nalielewa kabila langu 100% ushaur zaid uliza au njoo pm
Mimi si mkurya ila nimeishi na kuoa ukuryani nakubaliana na hoja zako 100%

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom