blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Posho ya mazingira magumu hamna... Tumekubali.
Madaraja hatupandi.. Tumekubali.
Annual increment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.
LAKINI
Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yaani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?
Hivi Ualimu ni laana?
Pia soma:
Walimu tulioajiriwa 2012 Ileje tumewakosea nini serikali? Malimbikizo hatulipwi madaraja hatupandi!
Walimu walioajiriwa 2012 ilibidi wapande madaraja July 2015 lakini haikuwa hivyo, tukaendelea kuchapa kazi. Sasa namuomba waziri simbachawene atuambie sisi walimu wa Ileje tunadharauliwa au hatufahamiki na serikali? Wenzetu wilaya zingine wamepanda madaraja tokea mwezi wa kwanza sisi hadi Leo...
Walimu wamepandishwa madaraja ila kuna shaka
Nimejaribu kuangalia barua ya dada yangu wa wilaya ya Nyamagana Mwanza nimeshangaa. Barua inaonesha amelandishwa daraja analostahili lakini Baraza la madiwani ndo linaonekana kuwapandisha kinyume na utaratibu wa kawaida ambao ameniambia ni TSD wanaopandisha walimu. Je ni sahihi au changa la macho!