Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?

Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?

Inaeleweka na kukubalika kuwa Ualimu kweli ni laana na walimu wote mmelaaniwa kuyakubali yote mnayotendewa maana na yeye ni mwalimu mwenzenu anayewatendea yote hayo.
Huwa wanasahu wakishapata madaraka,ni Hadi akitoka ndipo atakumbuka.We uoni wanakumbuka umuhimu wa katiba mpya baada ya mfumo kuwatupa.
 
Kwa comments hizi nimeishia kucheka tu!

Uzalendo pia ni kufanya kazi bila malipo kwa maendeleo ya wote!

Walimu si mzoee shida tu kama wengine walivyozoea?
Why US!?

Kumbuka sisi ndio tunatumika kufanya kazi zote maalumu za kitaifa...

Sensa..
Daftari la kura...
Uchaguzi..

Tena kwa malipo madogo mnoo...

Why the hell are we treated like this!?? Like hogs..

Why!?
 
mkuu kua na subra, hela italipwa, TANZANIA ya Raisi wetu mpendwa jpm kila mtu atapata haki yake, nakuomba uvute subra, pia hapa sisehemu salama kuleta jambo kama hili hapo maana kazi hiyo ni siri kua mzalendo
 
Upendeleo wa kusahihisha mitihani hiyo wao tu kila mwaka ni wao tu ni tatizo SUGU katika elimu nchini. Waziri yupo tu wanatazama ubaguzi huo
 
Mishahara yetu duni... Tumekubali

Posho ya mazingira magumu hamna.. Tumekubali

Madaraja hatupandi.. Tumekubali

Annual incliment hamna.. Tumekubali.

Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.

LAKINI

Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo !?? Kweli!?

Hivi ualimu ni laana.. !??
Ualimu ni kada ya watu wenye ufaulu duni wa mitihani, hicho mnacholipwa kinawatosha
 
T
Mishahara yetu duni... Tumekubali

Posho ya mazingira magumu hamna.. Tumekubali

Madaraja hatupandi.. Tumekubali

Annual incliment hamna.. Tumekubali.

Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.

LAKINI

Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo !?? Kweli!?

Hivi ualimu ni laana.. !??
Tumepata kiongozi wa hovyo haijapata kutokea.
 
Why US!?

Kumbuka sisi ndio tunatumika kufanya kazi zote maalumu za kitaifa...

Sensa..
Daftari la kura...
Uchaguzi..

Tena kwa malipo madogo mnoo...

Why the hell are treated like this!?? Like hogs..

Why!?
Pole Mwalimu!

Ukifikiria sana mwisho wa siku utaweza jiunga na al Shababi!

Samehe. Fanya kama kwamba utapewa tu hiyo hela. Usiipigie hesabu kwa sasa.

Pia ni vema kwa kamshahara halo kadogo walau utenge kidogo kwa ajili ya uwekezaji wa biashara rahisi kama ufugaji wa kuku wa mayai au kaduka ambako wakati upo broke kanaweza kukushika mkono!

Pole sana Mwalimu.
 
Mwalimu nae hapo anaona yupo sahihi,tayari imetokea sintofahamu
 
mkuu kua na subra, hela italipwa, TANZANIA ya Raisi wetu mpendwa jpm kila mtu atapata haki yake, nakuomba uvute subra, pia hapa sisehemu salama kuleta jambo kama hili hapo maana kazi hiyo ni siri kua mzalendo
Ulitaka nililete wapi!? Huenda Rais hajui.. He has to know...

Afu tusitishane.
 
Kwa Tanzania na Adha zilizopo kazi ya ualimu ni kazi inayomfaa mwanamke ,ni Jambo la ajabu na la hudhuni Sana kumuona mwanaume mzima ni mwalimu .... Kuna rafk yangua alisomea ualimu (mwaka wa tano sasa anapiga kazi) juzi ananipigia ananiambia bro skujua kama ualimu ni kazi ya hovyo hivi, uamzi aliofanya , kaomba kwenda masomoni alaf kachikichia chuga anapiga biashara ...mshahara unaingia masomoni hayupo na kituoni hayupo anasema liwalo na liwe
 
Sawa Mkuu... Lakini kwanini haki icheleweshwe.!? Afu usitukane walimu.kumbuka wewe uko hivyo sababu ya Mwalimu.
Naomba niwe mkweli walimu wa nchi hii ni wapumbavu kwanza ndio waliosimamia uchaguzi na wao ndio waliofanya mafekeche mpaka Tundu Lissu akadhulumiwa ushindi wake Sasa msitusumbue shindeni mechi zenu wenyewe wajinga nyie.

Pili hiyo mnayoita kazi maalum nadhani ndio marking Kuna walimu wenzenu wanalalamika mnaitwa nyie kila mwaka yani mtu ikifika desemba anaanza kupiga bajeti ya hela ya marking maana anajua piga ua ataitwa walimu ambao hawaitwi marking wanajisikia vibaya Sana mashuleni wanaona hawathaminiwi na wakuu wa shule wanatumia hiyo Kama fimbo.
 
Walimu Nawapenda Kweli Kweli Mimi
Mimi, Mwenyewe Nilikuwa Mwalimu, Mke Wangu Ni Mwalimu, Waziri Mkuu Ni Mwalimu

Nawapenda Ninyi!!
😀😁😂😂😃😃😃😃😅😅😅😄😄😄😃🤣😂😂😁
 
Back
Top Bottom