Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?

Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?

Mfanyakazi yeyeto awamu hii akubali tu kujitolea kwamba amejenga nchi yake,suala la maslai yake afute kabisa kichwani,hana mpango wala hawezi boresha maslai ya wafanyakazi.Muhimu ni kuwekeza kwenye dua tu Ili asibadili katiba Ili 2025 tuanze upya.
Aliingia kwa lengo la kuumiza watu kuwasomesha namba,kuwalimisha meno hakika ndoto imetimia.
 
Mtakula mliko peleka mboga

JPM usithubutu kabisa kupandisha madaraja wala kuongeza mishahara mpaka maji wayaite mma
 
Hakuna mgomo wa walimu hizi Ni kauli za kujifariji tu ,tunaona wakuu wa shule ,walimu wakuu ,ma meck wanavyowapelekesha walimu wa kawaida kisa posho wanazokula na kwa ujinga wa walimu nao wanasalitiana wao kwa wao kwa kuamua kuwa wapeleka taarifa za walimu wenzao kwa hao viongoz uchwara....
Umeongea ukweli hii kada ina watu wa hovyo Sana wengi ni waliofeli huu ni ukweli mchungu Sana , they can't do any forceful action kujinasua , ni waoga wa kupoteza ajira hii inachangiwa wengi wao wametokea kwenye poverty line, waoga ni wengi na pia ina wanawake wengi Kias kwamba hata wanaume nao wanaonekana ni mdebwedo.

Inahuzunisha walimu wengi kwenye kampeni walikuwa upande wa Lissu lakn walipopewa dili la kusimamia chap Tu wakawa upande wa serikali what the fu-ck .... It is not the power of enemy who defeat us it is just Fear of loosing...shame ualimu
 
Tunakuchoma Sasa ndio utatia akili ndio utajua cc ni was.ng au wasengerema.
Unachoweza kuchoma ni mishkaki tu we kima..
Hujui watu wangapi nawakilishA vilio vyao kwa post hii...

Alafu kumbuka.. Kazi yeyote ya kiapo haitakiwi kuwa 'inquiries'..

Kiapo kimekiukwa...

When you see people talk.. You shut the F..uck up..

Its their mistake..not ours.
 
Mishahara yetu duni... Tumekubali

Posho ya mazingira magumu hamna.. Tumekubali

Madaraja hatupandi.. Tumekubali

Annual incliment hamna.. Tumekubali.

Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.

LAKINI

Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?

Hivi Ualimu ni laana?
Nafikiri anatakiwa ashikilie papo hapo ili akili ziwakae, mna mahaba mazito na ccm sana
 
Ujasiri wote huu
Unachoweza kuchoma ni mishkaki tu we kima..
Hujui watu wangapi nawakilishA vilio vyao kwa post hii...

Alafu kumbuka.. Kazi yeyote ya kiapo haitakiwi kuwa 'inquiries'..

Kiapo kimekiukwa...

When you see people talk.. You shut the F..uck up..

Its their mistake..not ours.
Ujasiri wote huu unafanya kazi ya kike keyboard worrier
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dah jamani.
Huwezi amini kinachoandikwa hapa..
Afu usikute huyu ni mchoma mahindi au mihogo ambae wateja wake wakuu ni walimu..
 
Umeongea ukweli hii kada ina watu wa hovyo Sana wengi ni waliofeli huu ni ukweli mchungu Sana , they can't do any forceful action kujinasua , ni waoga wa kupoteza ajira hii inachangiwa wengi wao wametokea kwenye poverty line, waoga ni wengi na pia ina wanawake wengi Kias kwamba hata wanaume nao wanaonekana ni mdebwedo.

Inahuzunisha walimu wengi kwenye kampeni walikuwa upande wa Lissu lakn walipopewa dili la kusimamia chap Tu wakawa upande wa serikali what the fu-ck .... It is not the power of enemy who defeat us it is just Fear of loosing...shame ualimu
Damnn..!!!
So Mkuu unashauri nini. !?
 
Nafikiri anatakiwa ashikilie papo hapo ili akili ziwakae, mna mahaba mazito na ccm sana
Mkuu tunakuwa forced... Hakuna mwalimu anaipenda CCM... LABDA WAKUU WA SHULE... COZ WANA POSHO YA NGUO.
 
Kuweni wazalendo ndugu waalimu ninyi tumewapa Jukumu kubwa la kutufundishia wanetu na kusimamia uchaguzi hivyo endeleeni na uvumilivu wenu .

Mitano na mikumi mingine tenaa
 
Naamini serikali imeona walimu wake inaowapeleka marking kila mwaka wanavyoichafua na kutoa Siri za serikali. Hamkuambiwa Aina za Siri? Hamkuambiwa Mambo ya embargo kwenye semina ? Necta lioneni hili mlifanyie kazi.
Huyu mtoa mada ni miongoni mwa walimu hovyo kabisa, yaani ameshindwa kuwasiliana na baraza huko analeta huku, hizi kazi maalumu zina usiri ndani yake na wanakula hadi viapo.
 
Back
Top Bottom