Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?

Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?

Mkuu tulitegemea hako ka laki nane tulipe ada ya watoto..

Hii ni hatari mnoo.. Unaweza jikuta unaolewA hivihivi..
Katika walimu wapumbavu ww ni no moja ,yaan kabisa ulikuwa unategemea hela ya Kaz maalum ndio ulipe Ada ya mtoto? Hapa umejionyesha waz kuwa kumbe ww unaenda kwa rushwa huko Kaz maalum maana had kuipangia matumiz ya Ada pesa ya Kaz maalum means iko planned kabisa.

Kaz maalum mmeenda juz tu na majina yalitoka baada ya mtihan kumalizika ambapo ilikuwa mwez wa kumi na mbil,kwa lugha nyepes hata kabla ya majina kutoka ww ulikuwa unajua km unaenda kumark .

Viongoz wa juu mliangalie hili swala kuna watu hii Kaz Ni Kama yao wao tu kila mwaka wao tu had wanapanga na bajet ya kulipa karo kwenye pesa ambayo mtu hujui kama utaipata.

Tena ikiwezekana mwaka huu wapewe pesa wale ambao Ni mara ya Kwanza na pil nyie wakongwe mwaka huu iwe Kama mmejitolea .

Tena usijerudia leta huo ujinga wako kwenye jukwaa km hili ndio maana hii kada imedharaurika kisa watu wajinga km wewe
 
Inaeleweka na kukubalika kuwa Ualimu kweli ni laana na walimu wote mmelaaniwa kuyakubali yote mnayotendewa maana na yeye ni mwalimu mwenzenu anayewatendea yote hayo.
Hata wanafunzi wao wana laana pia,kwahiyo tuseme nchi hii wote tuna laana,maana huwezi fundishwa na mwenye laana ukakosa laana
 
Respect kwa wapumbavu my foot walimu ni wapumbavu we huoni walikuwa wanachapwa fimbo? Narudia Tena walimu ni wapumbavu.ushaona manesi au madaktari wakichapwa fimbo?
Hao walimu walichapwa nchi nzima?ilikuwa wapi hiyo
 
Mishahara yetu duni... Tumekubali

Posho ya mazingira magumu hamna.. Tumekubali

Madaraja hatupandi.. Tumekubali

Annual incliment hamna.. Tumekubali.

Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.

LAKINI

Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo !?? Kweli!?

Hivi ualimu ni laana.. !??
Nyie si ndiyo mliingia na mafurushi ya kura zake vituoni? Na bado mtateseka sana, JPM kanyagia hapo hapo hadi watie akili.
 
Nahisi kama IP address yangu inatafutwa..

Internet inapoteapotea bila sababu...

Nawaambieni ninyi wapumbavu mnaopiga hizi hela..hamuwezi kunidaka kamwee...

Lipeni hela.
 
Tena u
Sawa Mkuu... Lakini kwanini haki icheleweshwe.!? Afu usitukane walimu.kumbuka wewe uko hivyo sababu ya Mwalimu.
Tena ukinilazimisha kuwatetea walimu basi nitatoa tusi ambalo litafanya nipigwe ban.naomba tusifike huko kutetea wapumbavu
 
Mishahara yetu duni... Tumekubali

Posho ya mazingira magumu hamna.. Tumekubali

Madaraja hatupandi.. Tumekubali

Annual incliment hamna.. Tumekubali.

Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.

LAKINI

Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo !?? Kweli!?

Hivi ualimu ni laana.. !??
Hili la kazi maalum siyo sahihi kuliweka humu.Tusiichukie nchi yetu kwa ajili ya mtu mmoja,ambaye hana wasaidizi wazuri.
 
Lakini tatizo nini? Wangewalipa tu hiyo hela yao kama ni kweli hawajawalipa ijapo mlalamikaji haja sema ni siku ngapi zimepita tangu wamemaliza kazi.
1:Chombo kama hiki kulalamikiwa nadhani siyo sahihi kwasababu kuna maisha na mstakabali wa maisha ya watoto yapo mikononi mwa
2:Ni vema wangeelezwa km pesa itachelewa kidogo kwa sababu malalamiko haya hayapaswi kuwa hapa,kwani kazi Ile ni ya siri na unyeti
3:Wahusika pia waliaangalie swala hili kwa umuhimu wake kwani ni rahisi kubadilisha taswira ya kazi yenyewe
 
Hivi Dr. Ulimboka aliyeng'olewa meno bila ganzi naye alikuwa ni mwalimu?...
Hakuna mgomo wa walimu hizi Ni kauli za kujifariji tu ,tunaona wakuu wa shule ,walimu wakuu ,ma meck wanavyowapelekesha walimu wa kawaida kisa posho wanazokula na kwa ujinga wa walimu nao wanasalitiana wao kwa wao kwa kuamua kuwa wapeleka taarifa za walimu wenzao kwa hao viongoz uchwara.

Mbali na Hilo kwenye shule moja kutakuwa na walimu wawil au watatu wenye misimamo ila wote wanaobak wanakuwa upande wa mkuu wa shule au Mwalimu mkuu na hao wengine kuchukiwa ,Sasa huo mgomo unaousemea Ni upi ndugu?

Kuna walimu vihere here wanafundisha had jumamosi Tena bure kabisa kisa tu kujipendekeza kwa mkuu wa shule.

Kuna walimu wanoko mnapanga hili baadae wanasalit.

Narudia Tena hakuna mgomo wa walimu kabisa kwenye nchi hii ,coz watu wanapiga Kaz had ambazo ziko nje ya mkataba wake ,wanafundisha had sio poa bahat mbaya tu mitoto ya siku iz Ni mivilaza.

Ukweli utabak kuwa mchungu Sana hii kada inatumika vibaya mno na ina watumish wengi ambao hawakufaa kuwa hapo.

Ili heshima ilejee kwenye hii kada huku primary watoe hawa walimu wa cheti waende wakasome primary Mwalimu aanze na diploma na degree ,alaf sec Mwalimu aanze na degree na masters hapo utaona Moto wake .

Walimu wanaoongoza kwa kuiharibu hii kada Ni hasa wa primary wale wenye chet Ni waoga wamepoa Kama kuku wa mdondo kila kitu Ni ndio tu .
 
Waziri Mkuu Mwalimu...Mke wake Mwalimu..
Damnn...!!
Walimu Nawapenda Kweli Kweli Mimi
Mimi, Mwenyewe Nilikuwa Mwalimu, Mke Wangu Ni Mwalimu, Waziri Mkuu Ni Mwalimu

Nawapenda Ninyi!!
😀😁😂😂😃😃😃😃😅😅😅😄😄😄😃🤣😂😂😁
 
Mishahara yetu duni... Tumekubali

Posho ya mazingira magumu hamna.. Tumekubali...
hahahaha hakuna jiwe chini ya jiwe litakalo salia,nyie walimu si ndo mlisimamia uchaguzi mkasema kashinda kwa kishindo mkawawadhulumu wapinzani kura zao Wapinzani waliwatetea sana leo hawapo,SASA JITETEENI WENYEWE,
 
Umeandika kwa hisia kalii.. Huenda na ww ni mwalimu. Hupati nafasi hiyi kwasababu huna maadili. Kazi hiyo ni nyeti. Endelea sugua. Mpumbavu kabisa wewe.
Katika walimu wapumbavu ww ni no moja ,yaan kabisa ulikuwa unategemea hela ya Kaz maalum ndio ulipe Ada ya mtoto? Hapa umejionyesha waz kuwa kumbe ww unaenda kwa rushwa huko Kaz maalum maana had kuipangia matumiz ya Ada pesa ya Kaz maalum means iko planned kabisa....
 
Hakuna mgomo wa walimu hizi Ni kauli za kujifariji tu ,tunaona wakuu wa shule ,walimu wakuu ,ma meck wanavyowapelekesha walimu wa kawaida kisa posho wanazokula na kwa ujinga wa walimu nao wanasalitiana wao kwa wao kwa kuamua kuwa wapeleka taarifa za walimu wenzao kwa hao viongoz uchwara...
Mkuu umeongea ukweli mtupu bila shaka wewe ni mwalimu.

Aya ya pili imeshiba sana mkuu.

Aya ya mwisho naipinga mkuu sababu mtu kujisimamia hakuhitaji elimu ya digrii bali ni akili ya mtu kujitambua tu.

Yote kwa yote ualimu ni laana katika nchi hii. Ukiwa mwalimu mabaya yote yatasukumiwa kwa mwalimu na mazuri yote hupelekwa kwa viongozi wa wizara.
 
Mkuu tulitegemea hako ka laki nane tulipe ada ya watoto..

Hii ni hatari mnoo.. Unaweza jikuta unaolewA hivihivi..
Naamini serikali imeona walimu wake inaowapeleka marking kila mwaka wanavyoichafua na kutoa Siri za serikali. Hamkuambiwa Aina za Siri? Hamkuambiwa Mambo ya embargo kwenye semina ? Necta lioneni hili mlifanyie kazi.
 
Nyie lazima mjue kuwa aliyewahi kuwa mwenzenu(mwaalimu) sasa hivi sio mwenzenu tena.
 
Back
Top Bottom