Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Hujielewi, acha kulialia. Kazi ulifanya kama siri, alafu wewe unakuja mitandaoni kulia lia. Bado tuna watanzania mbumbumbu kama wewe, sasa elimu imekusaidia nini?Mishahara yetu duni..... Tumekubali
Posho ya mazingira magumu hamna... Tumekubali
Madaraja hatupandi.. Tumekubali
Annual increment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.
LAKINI
Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?
Hivi Ualimu ni laana?
Idiot