Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?

Hujielewi, acha kulialia. Kazi ulifanya kama siri, alafu wewe unakuja mitandaoni kulia lia. Bado tuna watanzania mbumbumbu kama wewe, sasa elimu imekusaidia nini?

Idiot
 
Huu utahira kwa wakuu wa shule umekuwa mkubwa sana, yaani wanafanya Siri utafikiri kuna mwalimu anayeweza kuwarogo hao wanaoenda kusahihisha.
Na nyie NECTA muwe mnajitafakari basi haiwezekani kila mwaka mwalimu huyohuyo ndio anayeenda kusahihisha kwani wengine vikaragosi
 
Wenye mishahara duni wapo,wala siyo ninyi.
Pia,acheni kulalama sana kana kwamba ninyi ndiyo watumishi pekee katika nchi ambao hampewi increment au madaraja.
 
Ww ndie mpumbav unaekuja kulia Lia mitandaon na kutegemea karo ya wanao kupitia Kaz maalum.

We si una mshahara kalipe karo acha kulia Lia kiboya utapakatwa Boya ww
NAKUHIFADHI..
 
Kuna walimu kibao hawajaajiriwa bado wala hawategemei kuajiriwa cku za karibuni....Me naona izo zinazoitwa kazi maalumu wangekua wanapewa wao atleast wapate japo pesa ya bahasha na nauli..

Nyie mlioajiriwa mishahara yenu japo ni midogo lkn atleast mna uhakika wa mwisho wa mwezi
 
Nasema tena NAKUHIFADHI.

Unaongea ka dem aliyeolewa burebure... Yani ukapigwa tu mimba ukajisogeza...

Mpuuzi fulani..
 
Nasema tena NAKUHIFADHI.

Unaongea ka dem aliyeolewa burebure... Yani ukapigwa tu mimba ukajisogeza...

Mpuuzi fulani..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukwel unauma eee ,acha kulia Lia mitandaon, mwanaume aliyekomaa hawez kulilia pesa za marking et akamlipie karo mtoto wake.
Nifuate pm nikukopeshe milion 1 ukalipe karo ,utanirudishia 1.2m baada ya mwez mmoja kupita.
 
Hujielewi, acha kulialia. Kazi ulifanya kama siri, alafu wewe unakuja mitandaoni kulia lia. Bado tuna watanzania mbumbumbu kama wewe, sasa elimu imekusaidia nini?

Idiot
Huyu mwalimu hovyo kabisa halafu tutegemee kupata wataalam wazuri kupitia mwalimu kama huyu ambaye ameshindwa kutunza siri ya kazi maalum.
 
Nyokoooo....
 
Tena awakamue mpaka mtoke 'nnyaa mzidi kukaa sawa!
 
Nyokoooo....
Pitia comments za wadau uone ulivyo kiande, yaan unaonekana kabisa ndio wale wa Elimu za hapa na pale[emoji23][emoji23].Umeapa kiapo kuwa hiyo Kaz Ni Siri wewe unakuja kukenua huku ,hapo hapo et na ww unaniita mm sina maadili ,jaman ,yaan shukuru jf Kuna fake I'd wewe ungejulikana hakika saiz yangekuwa mengine wangekusaga haya makalio yako kwa viboko.

Narudia Tena njoo pm nikupe loan
 
Hivi tAifa linakuaje na watu hasara kama wewe... !?
Hivi ni wapi nimedisclose mchakato mzima wa kazi..

Ninaongelea malipo..

Damn you.... Siri siri siri... My black ass. They only work for teachers.

Hivi unajua wAbunge wanasign shng ngapi per day... Wanajambajamba tu mle ndani..

Mwalimu kapinda mgongo...anarudi anaumwa..halipwi..

Damnn..
 
walimu mnapokuwa wazembe hivi obviously mnaanda kizazi cha kizembe.

Kila mwezi mnakatwa pesa zenu na CWT, hiki chama kinawasaidia nini kama hakina meno!?

Siku hizi hata wanafunzi wanaomaliza vyuo vikuu wengi wao ni watu waoga sana.

Huku mtaani hata akikusikia unampinga Magufuli utamuona yupo kimya na utamuona anaondoka eneo hilo.
Ni waoga hapana mfano.
 
Si ufe ijulikane.

Walimu wa necta mnaenda kwa rushwa ya kujuana au mnaacha gawio
 
Uko sahihi maana wewe umeongelea kulipwa pesa na kila mtu anajua wanaoenda NECTA kusahihisha wanalipwa hii sio siri.
Ungeongelea shilingi ngapi? Hapo ndo ungekosea sana.

Kuna watu humu kazi kuponda tu wakati hawajui Kuna aina ngapi za Siri na ni Siri gani hapo imevushwa?
 
Ili kuwe na balance ...sharti kuwe na tabaka nyonge, la kuonewa.
 
U narrow minded ,small issue like this unaileta kwenye platform Kama hii!! Sasa hapo unakataa nn kuwa huja disclose mchakato mzima?coz payment Ni part ya mchakato mzima ,kwan sisi tulipaswa kujua unaidai serikal laki nane ?

Na je ukilia Lia huku hiyo laki nane yako sisi tukupatie na umetufanyia kazi gani?

We jamaa bahat mbaya hujijui kuwa ww ndie hasara kwa taifa ,ungekuwa kidume na unaejiamin usingekubal kuondoka kwenye kituo ulichofanyia Kaz bila kuona pesa kwa account yako.

Alaf unatolea mfano wabunge ,wao wanalipwa kwa wakat maana mlipaj anajua Wana impact kubwa kuliko ww ambae wamekufanya toilet paper ,maana hata wakisema wasikupe huna Cha kuwafanya Zaid ya kuja kulia Lia hapa ,wakat wenzio wabunge wanajisimamia pia Wana umoja linapokuja swala la maslah yao.
Mijitu mizima mnaambiwa pesa itafuata na nyie mnabeba mabeg badala ya kukaza kuwa hatuondok nyie mnaondoka ,tatizo mmekuwa makondoo ndio maana wanafanya wanavyotaka na wanajua mnahofia kuachishwa Kaz au kutopata Tena hiyo Kaz maalum mwaka mwingine .

Na najua pesa ya kuwalipa wanayo Sana tu ila wajanja wanaizungusha mtapewa wajanja wakishapata faida kidogo maana hamna la kuwafanya na ubavu wa kubweka hamna Zaid ya kuja kumalizia hasira jf hasa tukiwapa ukweli ambao Ni mchungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…