Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?

Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?

Mlishiriki kuiba kura 2020,mlikua na nafasi kubwa kushirikiana na wananchi wengine kumtoa madarakani..ila mmejawa unafki sana walimu wa nchi hii hivyo sasa...Pambaneni na hali zenu.
 
Bado ana mitano mingine ya Asante kwa hisani ya mzee mwinyi, baada ya hyo kuna mingine isiyo na kikomo mpk atakapochoka mwenyewe, au nasema uongo ndugu yangu??
 
PENGINE NI LAANA YA KUWALALA WANAFUNZI WA KIKE huwezi jua.
 
Ni kweli kabisa, sijui ni serikali imefilisika au kuna Wapumbavu wanapiga hiyo hela..

Lakini Jafo yupo
Ndalichako yupo...

Utumishi wapo..

Wanafanya nini!??
🤷😂😂
 
Wanamlalamika nini wakati wanayataka wenyewe.?
 
Mishahara yetu duni..... Tumekubali

Posho ya mazingira magumu hamna... Tumekubali

Madaraja hatupandi.. Tumekubali

Annual increment hamna.. Tumekubali.

Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.

LAKINI

Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?

Hivi Ualimu ni laana?
Andamaneni basi mbona kipindi cha jk kila siku kuandamana
 
Mishahara yetu duni..... Tumekubali

Posho ya mazingira magumu hamna... Tumekubali

Madaraja hatupandi.. Tumekubali

Annual increment hamna.. Tumekubali.

Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.

LAKINI

Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?

Hivi Ualimu ni laana?
Na nyie ndo mlisimamia uchaguzi?
 
Why US!?

Kumbuka sisi ndio tunatumika kufanya kazi zote maalumu za kitaifa...

Sensa..
Daftari la kura...
Uchaguzi..

Tena kwa malipo madogo mnoo...

Why the hell are we treated like this!?? Like hogs..

Why!?
Kausha, kausha mkuu, unavuna malipo ya uovu uliopanda, hyo ni trela picha Kamil linakuja
 
Nilikuwa kwenye kada hiyo...najua ninachokisema.
sasa unasema kwa sababu umeshatoka huko au kwa sababu hujatakiwa na walio juu yako kufanya hivyo???

unadhani mwalimu anapenda kufanya alichofanya!!au anashurutishwa??
 
Back
Top Bottom