Whaaaat, asking her what? Which? Where? How?Binti yangu asipofunga miguu asitegeme mimi kupokea mahari yoyote, na hili swali nitamuuliza. Inauma sana kuoa mwanamke amechakazwa, yet unaambiwa 4M, ya nini sasa wakati aliolewa kabla ya kuolewa.
Nitauliza "je wewe ni bikra mama yangu?"Whaaaat, asking her what? Which? Where? How?
Mi nakijibu baba muulize anaenioaNitauliza "je wewe ni bikra mama yangu?"
Sasa tusipotoa mahari tutawaoaje?Utaratibu ulianzishwa na mwanaume.
Na nia ni kummiliki mwanamke awe chini yake, na wengine kumfanya mtumwa kabisa.
Sasa hivi pesa imekuwa ngumu, na wanawake wenyewe wamekuwa pasua kichwa. Wanaume wameanza kugoma kutoa mahari.
Nakuuliza wewe binti yangu, unijibu kama upo sealed ili kama vipi swala la mahari liahirishwe mkwe apewe mke bure kabisa.Mi nakijibu baba muulize anaenioa
Baba mkoloni kama.wewe utapewa jibu ambalo hutakuja kulisahau, be warnedNakuuliza wewe binti yangu, unijibu kama upo sealed ili kama vipi swala la mahari liahirishwe mkwe apewe mke bure kabisa.
Tema mate chini haraka sana🤣🤣🤣Baba mkoloni kama.wewe utapewa jibu ambalo hutakuja kulisahau, be warned
Mbona ushaanza kufa? Kwanza siku hizi watu wanachukuana tu bila utaratibu wanaishi.Sasa tusipotoa mahari tutawaoaje?
Huu utaratibu haufi hatuwezi kuwaoa bure ni dharau.
Did I say anything about feeding his family!?Will you help him feed his family?
Mimi nadhani kwenye hili suala, wazizi wanapaswa kuwa reasonable, kwa kuwa suala la mahari ni utaratibu basi tufuate utaratibu pasipo kumuumiza muoaji, tuweke mahari ya kawaida ambayo upande wa pili wataridhika na sio kukomoana maana hata baada ya ndoa undugu bado upo na binti bado ni wa kwako sio kwamba umemuuzaTema mate chini haraka sana🤣🤣🤣
KATAA MAHARI Skylar 🤣Mimi nadhani kwenye hili suala, wazizi wanapaswa kuwa reasonable, kwa kuwa suala la mahari ni utaratibu basi tufuate utaratibu pasipo kumuumiza muoaji, tuweke mahari ya kawaida ambayo upande wa pili wataridhika na sio kukomoana maana hata baada ya ndoa undugu bado upo na binti bado ni wa kwako sio kwamba umemuuza
"Mahari"Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi.
Sasa tuizungumzie "mahari"
1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani ya msingi haswa ?
2. Kwanini pia wanaharakati wa haki za wanawake hawaoni haka kautaratibu kuwa kakishamba na kupiga kelele kafutwe ?
Hujasikia huhusu Marioo?Jiulize kwanza kwanini wanawake wanajiuza wanaume wawalipe kufanya nao ngono, lakini wanaume hawajiuzi? Au kwanini male pornstars hawalipwi vizuri kama wanawake? Bible imesema tamaa ya mwanaume ipo kwa mwanamke, wabahili na wasio nazo tunajifanya wenyewe.
Mnaweza. Watu wanafanya mengi hukatazwi, hata ukitaka kuwa baba wa nyumbani mkeo aende kazini inawezekana kabisa. Ni wewe tu.Kwani humuwezi oana bila kulipishana mahari ?
Msanii"Mahari"
Hujasikia huhusu Marioo?
Anhaa kumbe inawezekana nafikiri itakuwa njia njema kuonesha utu kwa mabinti zetu na kuacha utamaduni wa udhalilishajiMnaweza. Watu wanafanya mengi hukatazwi, hata ukitaka kuwa baba wa nyumbani mkeo aende kazini inawezekana kabisa. Ni wewe tu.
Reja reja kwenye kuoana ndio kitu gani ?Mi naona ni kautaratibu kazuri tu la sivyo wanaume tungeteseka sana na hz za rejareja
Waliona mbali kwa jamii yetu lakini jamii zingine mwanamke ndo anahusika
Nipo tayariMi mwamba akijitokeza kuoa binti yangu, napokea mahari ila sitamkomoa
Dharau kubwa ni kutoa pesa ili kupata mke hii sentensi ukiielewa utakuwa umekomaaSasa tusipotoa mahari tutawaoaje?
Huu utaratibu haufi hatuwezi kuwaoa bure ni dharau.