Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Unakomplicate mambo sana. We fanya unaloona ni sawa boss.Anhaa kumbe inawezekana nafikiri itakuwa njia njema kuonesha utu kwa mabinti zetu na kuacha utamaduni wa udhalilishaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakomplicate mambo sana. We fanya unaloona ni sawa boss.Anhaa kumbe inawezekana nafikiri itakuwa njia njema kuonesha utu kwa mabinti zetu na kuacha utamaduni wa udhalilishaji
Nimecomplicate ki vipi mwanangu.Unakomplicate mambo sana. We fanya unaloona ni sawa boss.
No, katika Uislam, mahari ni lazima.huu utaratibu sio sheria na haupo kwenye katiba wala kwenye vitabu vya dini kwa hiyo tunaweza ubadilisha
[emoji1787][emoji1787] hili neno kufura linasaund kimagumashi sana.Sasa nifure kwa lipi?
Wewe unaetoa ndio umefura
Karibu sana mkwe, kabinti kenyewe kanayimiza miezi mitatu next week, kwa hiyo wewe tuma mahari kwa M pesa halqfu hayo mengune tutajua akifikisha miaka 25Nipo tayari
Oooh sikujua, basi kwa wale ambao dini hazijaweka ulazima wasopate tqbu maana naona wanaume wa dar wanalalamika dana kuhusu mahariNo, katika Uislam, mahari ni lazima.
[emoji1787][emoji1787] hili neno kufura linasaund kimagumashi sana.
Mimi kuna hilo na goigoi yani najikutaga nacheka tu🤣🤣Sidhani kama nimewahi kulitumia hilo neno tofauti na leo 😅
Yanachekesha kiukweliMimi kuna hilo na goigoi yani najikutaga nacheka tu🤣🤣
😁😁😁Yanachekesha kiukweli
Reja reja kwenye kuoana ndio kitu gani ?it and run
Zile za nipe nikupeReja reja kwenye kuoana ndio kitu gani ?
Mbona kama umepaniki.. kulikoniKama hako kautaratibu haukubaliani nako achana nako
Kwanini upangiwe maisha? Weka utaratibu wako ambao unaona ni sawa...easy
Utaitwa marioo, utaambiwa tafuta hela, utaambiwa wewe mwanaume dhaifu unakwepa majukumu. Linapokuja suala ambalo linamuingiza gharama au linamuweka hatarini mwanaume hawa wanawake hawataki kabisa 50/50mi naona mahari ifutwe ili twende sawa na ile 50/50
50/50 sio kwenye uchumi tu dada angu. Kuna vipengele vingi sana. Mfano vitani ni wanaume tu ndio wanaenda kwenye batle field tukisema na wanawake waende matari wa mbele vitani mpo tayari?, mkiachana mnagawa mali tukiweka 50/50 kila mtu achukue alichokitolea jasho mpo tayari?, bungeni kuna viti maalumu kwa ajiri ya wanawake tukisema tuondoe zile nafasi hamtalalamika?Unasema tu hata wewe hiyo 50/50 hutaiweza. Mwanamke akijikomboa kiuchumi basi hiyo 50/50 ni rahisi sana kwake.
Na wanawake wengi wamejikomboa na wengine wana mawazo ya kujikomboa ni suala la muda tu.
Sasa wewe upangiwe zamu ya kuosha vyombo kelele utakazopiga nchi jirani watasikia
Kwenye vita sio lazima ni hiyari.50/50 sio kwenye uchumi tu dada angu. Kuna vipengele vingi sana. Mfano vitani ni wanaume tu ndio wanaenda kwenye batle field tukisema na wanawake waende matari wa mbele vitani mpo tayari?, mkiachana mnagawa mali tukiweka 50/50 kila mtu achukue alichokitolea jasho mpo tayari?, bungeni kuna viti maalumu kwa ajiri ya wanawake tukisema tuondoe zile nafasi hamtalalamika?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Karibu sana mkwe, kabinti kenyewe kanayimiza miezi mitatu next week, kwa hiyo wewe tuma mahari kwa M pesa halqfu hayo mengune tutajua akifikisha miaka 25
Mkuu, kwani wewe ungekuwa Mwanamke ungekataa kulipiwa MAHALI ??Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi.
Sasa tuizungumzie "mahari"
1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani ya msingi haswa ?
2. Kwanini pia wanaharakati wa haki za wanawake hawaoni haka kautaratibu kuwa kakishamba na kupiga kelele kafutwe ?
Ndo hapo ujue 50/50 haiwezi kuwa practible. By any means lazima mwanamke awe chini ya mwanaume iyo ndio natureKwenye vita sio lazima ni hiyari.
Pia kimaumbile mwanamke hawezi kupigana vita kama wapo basi ni wachache.
Viti maalum mimi sikubaliani navyo. Wanawake wapewe nafasi kutokana na uwezo wao, bila upendeleo wowote. Sina tatizo.
Ni nature ya waafrika sio ya binadamu wote i guess.Ndo hapo ujue 50/50 haiwezi kuwa practible. By any means lazima mwanamke awe chini ya mwanaume iyo ndio nature