Hivi walioanzisha utaratibu wa mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani za msingi?

Hivi walioanzisha utaratibu wa mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani za msingi?

20230731_234928.jpg
 
Akhasante mkuu, nilijichanganya kidogo ila baada ya kukisoma hicho kitabu vizuri nmeelewa wapi nlipokosea.

Turudi kwenye swali, wewe ungekuwa mwanamke ungekataa kulipiwa mahari ??
Hakuna sababu ya kukubali kununuliwa kama mtumwa au bidhaa sokoni
 
Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi.

Sasa tuizungumzie "mahari"

1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani ya msingi haswa ?

2. Kwanini pia wanaharakati wa haki za wanawake hawaoni haka kautaratibu kuwa kakishamba na kupiga kelele kafutwe ?
Kwahiyo mangi ubataka kuoata utelezi bure?
 
Jiulize kwanza kwanini wanawake wanajiuza wanaume wawalipe kufanya nao ngono, lakini wanaume hawajiuzi? Au kwanini male pornstars hawalipwi vizuri kama wanawake? Bible imesema tamaa ya mwanaume ipo kwa mwanamke, wabahili na wasio nazo tunajifanya wenyewe.
Acha kugeuza maandiko mwanamke ndo aliambiwa na tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye atakutawala,soma vizuri ndugu.....mwanamke thamani yake iko kwa mwanaume na mwanaume hakuumbwa kwajili ya mwanamke,tambua hakuna mahali kwenye Bible inaeleza kwamba Adam alikua anasumbuliwa na upweke,bali alikua pekeake tofauti na wanyama wengine. ... hivyo ni maoni ya Mungu kuona kwamba asiwe pekeake,na ndio maana baada ya makosa yao Adam mtu wa kwanza kumrushia mpira wa lawama ni Mungu alimwambia si huyu mwanamke uliye nipa......maana yake ni kwamba kwani nilikuomba unipe mwanamke,au kuna mahali nimekulalamikia kua ninasumbuliwa na upweke? Mwanaume hawezi sumbuliwa na upweke hata siku bali anaweza akawa pekeake ni mishe zikaenda kwa makusudi tu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Nitatumia neno kali kidogo😎😎😎😎😎kumbuka kuna kutomba na kutombwa kwo mtombaji lazima utoe mahari ili kuijumua **** mazima imagine mamamkwe anakukabidhi mtoto wake nahuku anajua unaenda kumtomba ,,,,,kwa hiyo dogo tulia muumba mbingu na aridhi ameamrisha ukitaka kutomba oa toa mahari afu katombe mpaka povu litoke....na ukishatoa mahari usitombe kihuruma huruma tomba haswaaaa,,,,,
 
Back
Top Bottom