Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Habari za mchana wanajf
Leo nataka niwafahamishe kuhusu mnyama huyu aitwaye simbilisi au kwa kiswahili sanifu anaitwa nungu bandia
1. Anakula majani na vitu vyote alavyo binadamu yan mbogamboga ugali wali pilau na aina zote za mbogamboga isipokua nyama na vitunguu kwani akila vitunguu anaumwa hadi kufa
2. Ni mnyama rahisi sana kufuga kwani anakula chakula sawa na binadamu pia ni mdogo anahitaji nafasi ndugu tu.
3. Anazaa baada ya miezi miwili na wiki moja na akizaa anaweza kushusha hadi watoto 6.
4. Wanaweza kua kama rafiki kwa mtu mpweke coz hawang'ati ovyo mpaka uwakosee kwa mfano uchokoze banda lao kwani hawapendi kelele coz wanaweza kupata hata stress hayo ni machache tu lakini wana sifa nyingine ambazo zimepelekea mimi kuwapenda kiasi ambacho nafuga ili niwaone coz nahuruma sana siwezi kuwachnja nawasilisha!