Kilembwe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,058
- 1,609
Karibu!ahaaa kama hutomind ntakua nakuuliza baadh ya v2 au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu!ahaaa kama hutomind ntakua nakuuliza baadh ya v2 au?
Hana mkia si2lisiSi ndo Kama panya wale?
ukimkamata unatakiwa umkate kwanza mkia
Kuna kamoja kalinizoea sana kiasi ambacho nkikaita tu fasta kanakuja na kilicho nishangaza zaidi nkiingia tu hakakimbii wakati wengne walikua wanasepa hatar kwenda bandan kwao kubwa zaidi navoenda ndani kananiangaliaaa sasa kuna ck nilichelewa kuwapa msosi nkashangaa hako kanakuja ndani na kuanza kutoa mlio wao... Hii imekaaje mkuu?Karibu!
"xaidi" ndio nini?Mi nawapenda Sungura Xaidi kuliko Hao.
Nimekujibu rafiki"xaidi" ndio nini?
Hahahahah kwa wanyama hiyo ni kawaida inaitwa "imprinting" ni kuwa huyo anajiona yuko safe zaidi kwako kwa sababu inawezekana kuna namna uliwahi mtreat kwa namna ya upekee au unamjali sana, kwa hiyo kwake anakuona kuwa ni rafiki zaidi! hao wengine waakimbia kwa sababu bado hawajioni kuwa salama zaidi ukiwa karibu naoKuna kamoja kalinizoea sana kiasi ambacho nkikaita tu fasta kanakuja na kilicho nishangaza zaidi nkiingia tu hakakimbii wakati wengne walikua wanasepa hatar kwenda bandan kwao kubwa zaidi navoenda ndani kananiangaliaaa sasa kuna ck nilichelewa kuwapa msosi nkashangaa hako kanakuja ndani na kuanza kutoa mlio wao... Hii imekaaje mkuu?
ahaaa alikua ananifata sana wakati nakula nkampa mahindi lakn muhindi ukanasa kwenye meno ya juu akahangaika bandan wakat huo namchek 2 kakaamua kuja kwangu huku kakiniangalia kwa huruma nkawa nainama nkachukue hakakuogopa(nadhani ndo mwanzo wa kutokua muoga kwangu) basi nkakatoa toka hapo ndo akawa haniogopi?Hahahahah kwa wanyama hiyo ni kawaida inaitwa "imprinting" ni kuwa huyo anajiona yuko safe zaidi kwako kwa sababu inawezekana kuna namna uliwahi mtreat kwa namna ya upekee au unamjali sana, kwa hiyo kwake anakuona kuwa ni rafiki zaidi! hao wengine waakimbia kwa sababu bado hawajioni kuwa salama zaidi ukiwa karibu nao
Heshima yako mzee .Mimi nimesoma Animal Behaviour chuo Kikuu cha Anglia Ruskin huko Cambridge, UK na sasa nafanya tafiti za wanyama kwa muda mrefu nashirikiana na kitengo cha Pest Management pale SUA
Hii ni part ya abnormal behaviour hasa kwa pet animal kama mbwa, ni "aggressive behaviour" hii husababisha na mambo mengi, na ni tatizo kama matatizo ya ugonjwa mwingine, ili kusaidia zaidi ni vizuri pia kujua historia ya mbwa mwenyewe, lakini mara nyingi mbwa kuwa aggressive kwa owner au family member husababishwa na mbwa kuwa muoga hasa kwa mmliki mpya, mbwa kuwa nervous (anxiety) na mmiliki kuwa unpredictable so mbwa anakuwa confused what to expect anapofanya kitu, adhabu au zawadi. Ina shauriwa kwenye mazingira kama hayo mmiliki inabidi awe kama good parent kwa mtoto anayehisi kuonewa, muoneshe kuwa uko karibu nae na umpe zawadi anapostahili!Heshima yako mzee .
Bila shaka kuna jambo waweza kunisaidia kuhusu wanyama hususan mbwa .
Mwenzio nimenunua mbwa wiki haijaisha ila ana miezi miwili shida amekuwa mkali hadi kwangu kiasi kuwa nashindwa kuelewa tutaishije kama hata mimi mmiliki hanipendi .
Naomba nielekeze ili awe rafiki yangu aache kunibagua
Najaribu kuvuta pichaSimbilisi... vinazaa kila mwezi... kinapozaa dume anasikilizia pembeni kikimaliza kuzaa watoto wote dume anakula mzigo chap kwa haraka. Ni mnyama pekee anaeliwa daily na kuzaa monthly. Vikimya ila vigundua harufu yako mfugaji vinakelele ivo...vinalia chwiiii...chwiiiii. Nimefuga sana ivo. Nilinunua viwili dume na jike after 2 month nikawa na simbilisi 10 pamoja na wawili wale