mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Si ndo Kama panya wale?
ukimkamata unatakiwa umkate kwanza mkia
ukimkamata unatakiwa umkate kwanza mkia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawaliwi ?Wanaweza kua kama rafk kwa mtu mpweke coz hawang'ati ovyo mpaka uwakosee kwa mfan uchokoze banda lao kwan hawapendi kelele coz wanaweza kupata hata stress hayo ni machache tu lakn wana sifa nyingne ambazo zimepelekea mimi kuwapenda kiasi ambacho nafuga ili niwaone coz...
hapana hawafanan kabisa ila wanataka kuendana na nguruwe kidogo coz ya manyoya yao af hawana mkia kabisa wamezaliwa hv wana rangi rangi na nyama yao ni nyeupe amby n nzur kwa afyaSi ndo Kama panya wale?
ukimkamata unatakiwa umkate kwanza mkia
Unaweza kuweka oda ya mashulen kama advance na vyuo coz wanaweza kutumika ktk kufanya upasuaj wa vitendo na pia mahotelin kama chakula na wana nyama nyeupeKama wanazaa kila baada ya miezi miwili, ukifikisha 200 utawapeleka wapi?
nao nyama yao tamu 2 mkuuSungura ni mtamu sana, kuna sehemu huwa wana msosi kisinia cha sungura huwa sikosi maana ni mtamu kuku haoni ndani, ila hivi simbilisi enzi zetu mtaani kila mtu alifuga sema sikuwahi kula nyama yao simbilisi
hahahahahaaa ni kweli mkuuSimbilisi...vinazaa kilamwez...kinapozaa dume anasikilizia pemben kikimaliza kuzaa watoto wote dume anakula mzigo chap kwa haraka.Ni mnyama pekee anaeliwa daily na kuzaa monthly. Vikimya ila vigundua harufu yako mfugaji vinakelele ivo...vinalia chwiiii...chwiiiii.Nimefuga sana ivo.Nilinunua viwili dume na jike after 2 month nikawa na simbilisi 10 pamoja na wawili wale
Simbilisi na panya ni jamii moja wote ni Rodents na tabia zao ndio hizo wote huzaa watoto wengi kwa wakati mmoja na wana "gestation period fupi sana" ndio maana anaweza kuzaa kila mwezi. Kingine huenda hujui kuhusu Simbilisi na wanyama wa jamii hiyo yaani rodents wanauwezo wa "ku diffuse" mimba kama hali ya upatikanaji chakula sio mzuri, so wanazaa pale tu wanauhakika wa upatikanaji chakula!hapana hawafanan kabisa ila wanataka kuendana na nguruwe kidogo coz ya manyoya yao af hawana mkia kabisa wamezaliwa hv wana rangi rangi na nyama yao ni nyeupe amby n nzur kwa afya
Elezea huko kudiffuse mimbaSimbilisi na panya ni jamii moja wote ni Rodents na tabia zao ndio hizo wote huzaa watoto wengi kwa wakati mmoja na wana "gestation period fupi sana" ndio maana anaweza kuzaa kila mwezi. Kingine huenda hujui kuhusu Simbilisi na wanyama wa jamii hiyo yaani rodents wanauwezo wa "ku diffuse" mimba kama hali ya upatikanaji chakula sio mzuri, so wanazaa pale tu wanauhakika wa upatikanaji chakula!
Rodents wanakawaida ya "kuahirisha kuzaa" kama hali ya chakula sio nzuri, niliposema ku "diffuse" nilimaanisha wanaharibu mimba makusudi ikiwa bado changa na kutumia kurutubisha miili yao!Elezea huko kudiffuse mimba
Ahaaa okay nimekuelewa now mkuu umesomea wp?Rodents wanakawaida ya "kuahirisha kuzaa" kama hali ya chakula sio nzuri, niliposema ku "diffuse" nilimaanisha wanaharibu mimba makusudi ikiwa bado changa na kutumia kurutubisha miili yao!
Mimi nimesoma Animal Behaviour chuo Kikuu cha Anglia Ruskin huko Cambridge, UK na sasa nafanya tafiti za wanyama kwa muda mrefu nashirikiana na kitengo cha Pest Management pale SUAAhaaa okay nimekuelewa now mkuu umesomea wp?
ahaaa kama hutomind ntakua nakuuliza baadh ya v2 au?Mimi nimesoma Animal Behaviour chuo Kikuu cha Anglia Ruskin huko Cambridge, UK na sasa nafanya tafiti za wanyama kwa muda mrefu nashirikiana na kitengo cha Pest Management pale SUA