Hamza Nsiha
JF-Expert Member
- Jul 25, 2022
- 221
- 197
Hao unao sema kuwa ni ma lectures wengi wao ni wale wanaofanya vizuri vyuoni ambao hata ukifuatilia nyuma hawakuwahi kuwa katika orodha ya wanafunzi bora. Ninazungumzia hawa TO katika elimu ya kidato cha nne na cha sita. Asante kwa jawabu pia.Wewe unawataka ili nini ni sone point wako tu kama watu wa kawaida.Mimi nawajua wengi ni malecturers wapo kwenye vyuo mbalimbali nchini na duniani .Waliobahatika kipaata scholarship wengine wameishia huku huko nje ya nchi nk
Hawa ni watu muhimu sana waliotakiwa kuwa ktk mstari wa mbele kuboresha baadhi ya mambo kupitia maarifa waliyojaaliwa. Mfano wakina Isaack Newtons ndio waliokuwa vinara katika kuboresha misingi ya kifizikia akina Nichole Tesla na wengine wengi hivyo tunahitaji mchango wao maana wanaweza kuleta mabadiliko chanya. Asante kwa jawabu piaYaani unataka uone nini cha ajabu kuwahusu? Upishane nao barabarani wakiwa wamepakwa rangi au? Wapo wanaendelea na maisha yao.
Hawa ni watu muhimu sana waliotakiwa kuwa ktk mstari wa mbele kuboresha baadhi ya mambo kupitia maarifa waliyojaaliwa. Mfano wakina Isaack Newtons ndio waliokuwa vinara katika kuboresha misingi ya kifizikia akina Nichole Tesla na wengine wengi hivyo tunahitaji mchango wao maana wanaweza kuleta mabadiliko chanya. Asante kwa jawabuYaani unataka uone nini cha ajabu kuwahusu? Upishane nao barabarani wakiwa wamepakwa rangi au? Wapo wanaendelea na maisha yao.
Mh! Pia inaweza kuwa sababu mkuu! Asante kwa jawabu pia.Kukariri darasani na kutoboa kwenye maisha ni vitu viwili tofauti.. wengi tupo nao kitaa tu
Duh! Ni kweli vile___maana jamii huwa inawatazama kwa namna tofautiMaisha Yao yanakuwa ya shida Sana kutokana na pressure ya "jamii+ndugu* hivyo kutoboa kwao ni shida..refer TO Elias kihombo from tosa boys now marehemu
Hata wenyewe wanajiona hivyo hivyoDuh! Ni kweli vile___maana jamii huwa inawatazama kwa namna tofauti
Mwanzoni kipindi mie nasoma,by that time kwenda form one kijiji kizima kinajua wale ma T.O walikiwa wanasomeshwa na Serikali na badaye wanapelekwa kufanya kazi katika sekta Fulani.Hao unao sema kuwa ni ma lectures wengi wao ni wale wanaofanya vizuri vyuoni ambao hata ukifuatilia nyuma hawakuwahi kuwa katika orodha ya wanafunzi bora. Ninazungumzia hawa TO katika elimu ya kidato cha nne na cha sita. Asante kwa jawabu pia.