KweliWengi wasio na connection wako kitaa na wengi wenye connection wako majuu
Nipe orodha ya TO's ulioko nao hapo chuoni unakosoma. Kama huwaoni hapo unadhani hawakwenda chuoni labda?Ndugu, nipo chuoni ninaongea hivi kwa kuona hali halisiii
Hao unaotaja ni ma-genius wala hawakwenda shule kihivyo. Na mara nyingi huwa ni college drop out. Wagunduzi wengi hata shule hawakwenda au wamesema kidogo sana. Wao wana lala na kuota vitu na kuviweka kwenye uhalisia.Hawa ni watu muhimu sana waliotakiwa kuwa ktk mstari wa mbele kuboresha baadhi ya mambo kupitia maarifa waliyojaaliwa. Mfano wakina Isaack Newtons ndio waliokuwa vinara katika kuboresha misingi ya kifizikia akina Nichole Tesla na wengine wengi hivyo tunahitaji mchango wao maana wanaweza kuleta mabadiliko chanya. Asante kwa jawabu pia
Mandela mzee wa mwashita..leta cv tuione.Mwisho kabisa nitapenda kuweka RESUME yangu hapa ili WATU wote waone nilipo sasa hivi [emoji1545][emoji16][emoji1545]
Ila JAMII FORUMS ni raha sana!Mandela mzee wa mwashita..leta cv tuione.
#MaendeleoHayanaChama
Point sanaaa mkuuu, hao ni watu muhimu sana katika taifa letuMaisha ya darasani na mtaani ni tofauti; wapo wengine ni mafundi mabomba, walimu wa vyuo, waajiriwa, waliojiajiri n.k kwa ujumla hakuna kipya.
Ingekuwa vizuri, kama vitengo maalumu vya tafiti, vingewachukua na kufanya nao kazi; kuliko kuachia 'nature' ndio ifanye maamuzi.
Point sanaaa mkuuu, hao ni watu muhimu sanaMaisha ya darasani na mtaani ni tofauti; wapo wengine ni mafundi mabomba, walimu wa vyuo, waajiriwa, waliojiajiri n.k kwa ujumla hakuna kipya.
Ingekuwa vizuri, kama vitengo maalumu vya tafiti, vingewachukua na kufanya nao kazi; kuliko kuachia 'nature' ndio ifanye maamuzi.
Duuuh! Uko na mambo ya nuclear! Hiyo Teknolojia tunaihitaji piaaa hukuuu kwetu mkuuNipo hapa mmojawapo
Serikal yako ilinipekeka pyon yong institute atomic bombs nikichukua bachelor of science in INTERCONTINENTAL BALLISTIC MISSILES (ICMB) nilipofika mwaka wa saba serikal ikagoma kunilipia ada kwan had kugraduate n miaka tisa mkataba ulikuwa miaka 4 tu
Wameniacha huku sasa namsaidia kiduku kumodify zana zake Sina mpango wa kurud huko
Lakini ina depend na Intelligence Quotient IQ meaning wana uwezo mkubwa piaa......Kupata ufaulu mkubwa haina maana ndio unaweza kuleta matokeo tofauti katika sekta ya elimu au kuwa na mawazo tofauti na waliopo.
Simply ni alama tu kubwa means ulifundishwa na ukafundishika hakuna kingine.