D
DeletedMember281674
Guest
Yupo wapi mkuu?Broo wangu alikuwa TO kwasasa yupo sehemu nzuri sana .wengi wametoboa na wajua wamefanikiwa
Yupo wapi mkuu?Broo wangu alikuwa TO kwasasa yupo sehemu nzuri sana .wengi wametoboa na wajua wamefanikiwa
Huwa wanaenda USALAMA WA TAIFA (TISS)Ndugu, mwanajamii Forum, hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hivi ni kwanini wanafunzi wengi waliowahi kuingia katika orodha za wanafunzi bora mara nyingi baada ya hapo huwa hatuwasikii tena katika kuendeleza jitihada zao hususani katika safari yao ya elimu.
Mfano, baadhi ya wanafunzi waliowahi kuwa Tanzania One (TO) kidato cha sita, huwa hatuwasikii tena wanapoenda vyuoni. Kwa maana wanafunzi hawa ndio walitakiwa kuwa vinara katika kutia chachu katika sekta ya elimu kupitia jitihada zao au mawazo yao pia lakini si hivyo maana wengi wao wanapoenda vyuoni safari yao huwa tofauti.
Kama mwana Jamii Forum unahisi hiki kitu hutokea kwa sababu gani?
Nimewaandikia pia uzi uitwaio "vita ya vijana dhidi ya maendeleo ya sayansi na teknolojia" kama kijana unaweza pitia kuona tunamaliza vipi vita iliyopo baina yetu.
Sina uhakika katika hili! Kwa sababu WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA huwa wanafahamiana na hakuna hata mmoja aliyejiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, achilia mbali kufanya kazi SERIKALINI.Huwa wanaenda USALAMA WA TAIFA (TISS)
Kama ulishindwa darasani usiwanenee uwongo wenzio. Wengi wao wako nje ya nchi wanapiga kazi,we baki na roho yako mbaya iliyojaa uwongo.Kukariri darasani na kutoboa kwenye maisha ni vitu viwili tofauti, wengi tupo nao kitaa tu.
Huyu Erasm inyasse namjua,View attachment 2354153
Huyu ni jamaa yangu. Nimesoma nae Ilboru. Alikuwa kwenye top ten. Bachelor degree ya MD kasoma Harvard university. Na juzi kajiunga tena Harvard university kusoma masters mbili kwa wakati mmoja.
Marehemu Alex Kihombo wa Tabora boys alisoma degree yake kwa miaka 9 mlimani. Yeye alikuwaga T.O lakini ndoivo tena disco zikawa hazimpitii mbali. Nahis alikuwa anauelewa wa juu kuliko wakufunzi wake, nondo zake zilikuwa hazieleweki na wakufunzi. Aliishia kufundisha tuition tu pale mchikichini.
Erasmi inyasse pia wa ilboru sijui aliishia wapi, alikuwa TO advance mwaka 2013 kama sjakosea mwaka. Alienda mlimani kusomea petroleum sijui kwa sasa yuko wapi.
NB. Wengi wao wakifikaga vyuoni hasa wanaosomea TZ huwa wanadisco.
Wanaoenda nje wakibahatika kurudi huwa wanafanya projects kubwakubwa.
TAL[emoji22]TO wangu ambae tulikua naye pale ilboru ndio walimpiga risasi 30
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Huyu Erasm inyasse namjua,
Mzazi wake tunafahamiana sana
Upo vizuriIla mimi ndio nipo JUU! Baada ya EVENING WALK huwa nashushia KINYWAJI CHA BARIDI. Hii staili yangu WAINGEREZA huwa wanaita ni "STILL MAINTAINING AND KEEP SHINNING" [emoji23][emoji23][emoji23]
#LilWayne #The_5th_President
BOMA YEE! YEBO 😂😂Upo vizuri
Ufaulu kiwa TO sio kila kitu kwenye maisha, ndio maana wakifika chuo wanapotea na kwenye maisha wanapotea zaidi.Ndugu, mwanajamii Forum, hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hivi ni kwanini wanafunzi wengi waliowahi kuingia katika orodha za wanafunzi bora mara nyingi baada ya hapo huwa hatuwasikii tena katika kuendeleza jitihada zao hususani katika safari yao ya elimu.
Mfano, baadhi ya wanafunzi waliowahi kuwa Tanzania One (TO) kidato cha sita, huwa hatuwasikii tena wanapoenda vyuoni. Kwa maana wanafunzi hawa ndio walitakiwa kuwa vinara katika kutia chachu katika sekta ya elimu kupitia jitihada zao au mawazo yao pia lakini si hivyo maana wengi wao wanapoenda vyuoni safari yao huwa tofauti.
Kama mwana Jamii Forum unahisi hiki kitu hutokea kwa sababu gani?
Nimewaandikia pia uzi uitwaio "vita ya vijana dhidi ya maendeleo ya sayansi na teknolojia" kama kijana unaweza pitia kuona tunamaliza vipi vita iliyopo baina yetu.
Profesa IBRAHIM LIPUMBA na yeye anaingia kwenye huu uzi wa Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana na ni miongoni mwa WANASIASA walionufaika na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM.Akina Lipumba ndo mfano wao. 🏃🏃🏃🏃
Alex alikufa? Nini sababu?View attachment 2354153
Huyu ni jamaa yangu. Nimesoma nae Ilboru. Alikuwa kwenye top ten. Bachelor degree ya MD kasoma Harvard university. Na juzi kajiunga tena Harvard university kusoma masters mbili kwa wakati mmoja.
Marehemu Alex Kihombo wa Tabora boys alisoma degree yake kwa miaka 9 mlimani. Yeye alikuwaga T.O lakini ndoivo tena disco zikawa hazimpitii mbali. Nahis alikuwa anauelewa wa juu kuliko wakufunzi wake, nondo zake zilikuwa hazieleweki na wakufunzi. Aliishia kufundisha tuition tu pale mchikichini.
Erasmi inyasse pia wa ilboru sijui aliishia wapi, alikuwa TO advance mwaka 2013 kama sjakosea mwaka. Alienda mlimani kusomea petroleum sijui kwa sasa yuko wapi.
NB. Wengi wao wakifikaga vyuoni hasa wanaosomea TZ huwa wanadisco.
Wanaoenda nje wakibahatika kurudi huwa wanafanya projects kubwakubwa.
Wanahojiwa na Magazeti afu wanayeyuka
Unajua sisi wengine KUFANYA VIZURI kila siku ni HURKA yetu. Kwahiyo mwendo ni ule ule, watakuja kushangaa naingia IKULU hivi hivi.. 🇹🇿Upo vizuri
Hii HULKA ya kusema UONGO huwa ipo kwa WATANZANIA wengi na ni TABIA ambayo imezoeleka sana.Kama ulishindwa darasani usiwanenee uwongo wenzio.
Wengi wao wako nje ya nchi wanapiga kazi,we baki na roho yako mbaya iliyojaa uwongo.