Athuman Mintangah
Member
- May 29, 2021
- 79
- 133
Dah we jamaa😁😂Tz one mmoja yupo hapo Keko anauza Mahindi
Dah we jamaa😁😂Tz one mmoja yupo hapo Keko anauza Mahindi
Unajua humu JamiiForums wengi wanaonekana ni wageni, lakini ukweli uliowazi ni kwamba WANAFUNZI BORA huwa wanafahamiana, yaani ni kama WATU WENYE PESA.Dah we jamaa😁😂
No doubtUnajua humu JamiiForums wengi wanaonekana ni wageni, lakini ukweli uliowazi ni kwamba WANAFUNZI BORA huwa wanafahamiana, yaani ni kama WATU WENYE PESA.
WATU WENYE PESA huwa wanafahamiana vilevile, haiwezekani MTU akatoka "FROM NOWHERE" aonekane ana PESA, lazima MAMLAKA husika zitahoji uhalali wa PESA zake na hii huwa inafanyika kila NCHI, sio TANZANIA pekee yake.
Kwahiyo WANAFUNZI BORA huwa wanafahamiana vilevile, yaani ukiwa MWANAFUNZI BORA unakuwa kama "ICON" na kufanyika kuwa mfano kwa wengine.
Kwani kabla hawajawa Tanzania one ulikuwa unawafahamu?..umewafahamu kwa matokeo ya form six,baada ya apo hutoendelea kuwafahamu kama ambavyo hukuwafahamu kabla..hiyo ni kawaida[emoji144]Ndugu, mwanajamii Forum, hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hivi ni kwanini wanafunzi wengi waliowahi kuingia katika orodha za wanafunzi bora mara nyingi baada ya hapo huwa hatuwasikii tena katika kuendeleza jitihada zao hususani katika safari yao ya elimu.
Mfano, baadhi ya wanafunzi waliowahi kuwa Tanzania One (TO) kidato cha sita, huwa hatuwasikii tena wanapoenda vyuoni. Kwa maana wanafunzi hawa ndio walitakiwa kuwa vinara katika kutia chachu katika sekta ya elimu kupitia jitihada zao au mawazo yao pia lakini si hivyo maana wengi wao wanapoenda vyuoni safari yao huwa tofauti.
Kama mwana Jamii Forum unahisi hiki kitu hutokea kwa sababu gani?
Nimewaandikia pia uzi uitwaio "vita ya vijana dhidi ya maendeleo ya sayansi na teknolojia" kama kijana unaweza pitia kuona tunamaliza vipi vita iliyopo baina yetu.
Kuna WATU walinuna kipindi ambacho TO WA KIDATO CHA NNE [2007] alivyokuwa RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA [UDOM] - CoHSS [2012/13]. Yaani just like BARRACK HUSSEIN OBAMA akitembea katikati ya MITAA YA JIJI LA WASHINGTON DC nchini MAREKANI ☺️🇺🇲☺️
Ile ilikuwa ni PRODUCT ya OLD MOSHI na UHURU SEKONDARI, lakini wale WATOTO wa ST MARIA GORETTI na SHULE nyingine za kufanana na hizo sijui walipotelea wapi 😂😂😂
Weka ORODHA YA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE - 2007, ndio utamuona mwanafunzi bora.T O wa form 4 2007 si ni Japhet John na nakumbuka alisoma Telecommunications engineering pale udsm.huyo wa udom ni yupi?
Achilia mbali hiyo ORODHA YA WANAFUNZI BORA!! Muulize huyo JAPHET JOHN kama alipewa ACADEMIC CERTIFICATE OF EXCELLENCE kutoka BARAZA LA MITIHANI [NECTA]?T O wa form 4 2007 si ni Japhet John na nakumbuka alisoma Telecommunications engineering pale udsm.huyo wa udom ni yupi?
Kafa na ukimwi mkuuMaisha Yao yanakuwa ya shida Sana kutokana na pressure ya "jamii+ndugu* hivyo kutoboa kwao ni shida..refer TO Elias kihombo from tosa boys now marehemu.
Ukimwi bro ukimwi sure uongo Baba SwaleheMmmh jamaa alifariki? What went wrong?
Kwahiyo unataka kusema Elias Kihombo hakuwa TO? Umemaliza form six mwaka gani?Weka ORODHA YA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE - 2007, ndio utamuona mwanafunzi bora.
Huyo JAPHET JOHN hayupo hata MIA BORA. Yaani ni kama ELIAS KIHOMBO au MARTIN CHEGERE.
Hawa wote ukiwa mitaani wanaitwa ni TO, lakini ukiangalia ORODHA YA WANAFUNZI BORA kwa miaka husika. Hawapo wote..😂
ELIAS KIHOMBO hakuwahi kuwa TO! TO wa mwaka 2006 yupo na anafahamika na kama kuna ORODHA YA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA SITA kwa mwaka 2006 weka tuone!Kwahiyo unataka kusema Elias Kihombo hakuwa TO?
Nimemaliza KIDATO CHA SITA mwaka 2010 na ELIAS KIHOMBO alikuwa ni mwalimu wangu wa masomo ya TUITION.Umemaliza form six mwaka gani?
Basi kama umemaliza 2010 kuna uwezekano mkubwa hujui kilichotokea 2006. Bora ukakaa tu kimya. Kihombo alikuwa TO 2006. Kama hutaki basi endelea kuamini huyo unayedhani.ELIAS KIHOMBO hakuwahi kuwa TO! TO wa mwaka 2006 yupo na anafahamika na kama kuna ORODHA YA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA SITA kwa mwaka 2006 weka tuone!
Nimemaliza KIDATO CHA SITA mwaka 2010 na ELIAS KIHOMBO alikuwa ni mwalimu wangu wa masomo ya TUITION.
Ebu weka orodha ya wanafunzi bora wa KIDATO CHA NNE waliofanya vizuri kitaifa kwa mwaka 2007, ndio utajua ninachokueleza ni nini?Basi kama umemaliza 2010 kuna uwezekano mkubwa hujui kilichotokea 2006.
Mimi tena nisifahamu kilichotokea kwa mwaka 2006? Hebu weka ORODHA YA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA SITA kwa mwaka 2006.Bora ukakaa tu kimya. Kihombo alikuwa TO 2006. Kama hutaki basi endelea kuamini huyo unayedhani.
Wewe sio mtoto tu bali pia ni mpuuzi.
SijuiUkimwi bro ukimwi sure uongo Baba Swalehe
Duuh umezaliwa mwaka ganiEbu weka orodha ya wanafunzi bora wa KIDATO CHA NNE waliofanya vizuri kitaifa kwa mwaka 2007, ndio utajua ninachokueleza ni nini?
Mimi tena nisifahamu kilichotokea kwa mwaka 2006? Hebu weka ORODHA YA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA SITA kwa mwaka 2006.
Duuh umezaliwa mwaka gani