Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kongo ina mapedeshee na matapeli zamana wakiitwa kamanyola. Wangekuwa na jeshi hata robo ya Tanzania, kusingkuwa na upuuzi wa M23 au Rwanda ambao wametengenezwa na M7 tuliyemtengeneza baada ya kumchapa nduli na kumchoka Obote.Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU
Nimechoka kabisa jeshi la nchi limeikimbia inchi na kuwaachia wananchi msala
Wanajeshi wa kongo wamekimbilia Rwanda na kupokelewa kama wakimbizi hii ni hatari sana aisee
SAYUNI BOY
Ila ndio wanapigana vita miaka yoteWanajeshi wa kongo wamechoka hatari Kombat azieleweki na mabuti ya mvua kama wanaenda shamba
Hahahaha,jeshi dhaifu lkn wanapambana kila siku wako vitaniKongo ina mapedeshee na matapeli zamana wakiitwa kamanyola. Wangekuwa na jeshi hata robo ya Tanzania, kusingkuwa na upuuzi wa M23 au Rwanda ambao wametengenezwa na M7 tuliyemtengeneza baada ya kumchapa nduli na kumchoka Obote.
Umeona walivyovaa na wanavyohaha baada ya kusikia mitulinga?Hahahaha,jeshi dhaifu lkn wanapambana kila siku wako vitani
Ha hahahaha, anasahau kuwa hao jamaa wanapigana kila siku wako vitani ,Umeshupalia buti za mvua mzee tangu kule kwenye group la Whatsap
Hahahaha unaniambia kuona wakati nilishakuaga huko 2017- 2020 najua wanakabiliana na nn ktk mazingira ganiUmeona walivyovaa na wanavyohaha baada ya kusikia mitulinga?
Tuko pamoja MkuuHao Waasi wa M23 Wanaungwa mkono na Watu wengi Sana waishio kwenye maeneo hayo yenye migogoro.
Aidha, hata baadhi ya Vigogo wengi sana waliopo ndani ya Serikali ya Congo DR pia wanawaunga mkono hao Waasi wa M23. Hivyo, hao Waasi wa M23 Wana Watu wao ndani ya Serikali ya huko na wamekuwa wakipata taarifa zote kabisa muhimu za kiintelijensia kutoka Serikalini kupitia kwa hao Mawakala wao.
Mbaya zaidi sana, ndani ya Majeshi yote kabisa ya Serikali ya Congo DR kuna Mamluki wengi sana ambao pia ni Wapiganaji wa Vikosi vya Waasi wa M23, that's why unaona kwamba kuna matukio mengi sana ya Uasi wa chini chini ndani ya Majeshi ya nchi hiyo.
Jeshi la Congo DR jinsi lilivyo ni sawa sawa kabisa na jinsi Jeshi la Nigeria jinsi lilivyo. Wanajeshi wengi sana wa Nigeria pia ni Wapiganaji wa Kundi la Boko Haram, na Wanajeshi wengi sana wa Jeshi la Congo DR pia ni Wapiganaji wa Vikosi vya Waasi wa M23.
Umemnasa mzeeUmeshupalia buti za mvua mzee tangu kule kwenye group la Whatsap
Hao wanajeshi wa Kongo inaonyesha wana Maisha magumu hata kwa kuwaangalia tu.Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU
Nimechoka kabisa jeshi la nchi limeikimbia inchi na kuwaachia wananchi msala
Wanajeshi wa kongo wamekimbilia Rwanda na kupokelewa kama wakimbizi hii ni hatari sana aisee
SAYUNI BOY
Hata yeye huyo aliyetoa comment hiyo, sidhani kama anaweza kuwa tayari kujitolea muhanga nafsi yake na uhai wake ili kulinda na kutetea maslahi ya Watawala Mafisadi na waovu.Huwez kufa kizembe kwa kutetea viongozi wajinga
Uzalendo siyo suala la kuwatetea na kuwalinda Watawala waovu, Mafisadi na wabaguzi.Mkuu, Uzalendo ni saikolojia. Mtu kuwa tayari kufa ili wengine wakae kwa amani haitokei tu. Pengine hata wewe pakinuka vizuri hii nchi ukakataa kufa.
Uzalendo ni saikolojia bila kujali wa nchi yako au wanasiasa. Kuna saikolojia inajengwa kwanza akilini ndo uzalendo unatokea. Kuna watu wanakosa uzalendo hata kwa familia yake achila mbali nchi.Uzalendo siyo suala la kuwatetea na kuwalinda Watawala waovu, Mafisadi na wabaguzi.
Tambua tofaufi iliyopo kati ya vitu hivi viwili:-
1. Uzalendo kwa Serikali na Watawala waliopo.
2. Uzalendo kwa Nchi yako.
NB:- Uzalendo kwa nchi yako ni jambo la LAZIMA, lakini uzalendo kwa Serikali na Watawala siyo jambo la LAZIMA, hii inategemea na uzuri au ubaya walionao Watawala wenyewe pamoja na Serikali yao wanayoongoza.
Sana...wanajeshi wamevaa yebo na shamba boot.Inasikitisha sana mkuu.