Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Huo sio uasi ila uvamizi wa nchi jirani ya Rwanda....Rwanda ina askari 4000+ wanaopigana bega kwa bega na M23 dhidi ya serikali ya DrcWaasi wenye nguvu kubwa za kijeshi kiasi hicho wapo, tena wapo wengi sana. Inategemea na aina ya Waasi wenyewe, Mazingira waliyopo, uungwaji mkono, na sababu zingine nyingi sana kama vile 'motives' mahsusi zinazowafanya hao Waasi kupingana na Utawala uliopo.
Uasi wa kupigana HAKI mara nyingi sana huwa unapata uungwaji mkono kutoka kwa Wapenda Haki, hivyo Basi, upo uwezekano mkubwa sana Waasi wa namna hiyo kuwa na Jeshi au Wapiganaji wenye nguvu zaidi kuzidi Majeshi ya Serikali/Watawala.
Hata ripoti za UN na nchi kubwa kama US, UK, France wamethibitisha hilo....
nasisitiza uasi wenye nguvu kubwa kiasi hicho haupo Drc.
Loading…
www.google.com