Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,809
- 6,948
Embu tufundishane sheria zinasemaje.
Ikitokea wananchi wakasema wanaunda "serikali mbadala" ya kitaifa yenye ngazi kuanzia Mwenyekiti au Rais hadi ngazi ya mtaa.
Wakatafutwa viongozi wa kuunda serikali hiyo kwa njia watakayoona inafaa kwa ajili ya kuwaletea maendeleo yao.
Hata vyama vya siasa vina miundo inayofanana na hiyo na hata baadhi ya kampuni kubwa binafsi zinaweza kuwa na miundo unaofanana na huo.
Ikitokea watu wakaanzisha taasisi ya wananchi ya kujiongoza na kujitafutia maendeleo, hili jambo litachukuliwaje na watawala?
Niliwahi kutoa wazo hili zamani kidogo. Mnaweza kulipitia hapa.
Forming an Alternative Government in Tanzania (Serikali Mbadala)