Hivi Wananchi hawawezi kuunda serikali mbadala ya kitaifa?

Hivi Wananchi hawawezi kuunda serikali mbadala ya kitaifa?

Nafikiri huo utakuwa uhaini. Kwa mujibu wa tutakavyotafsiri sheria zetu

Hapo sasa utakuwa umempoka Lissu kesi yake ya uhaini wa mchongo... maana huo unaozungumzia hapo ndo uhaini wenyewe.
Nadhani uhaini ni kuwa na njama za kuiondoa serikali iliyo madarakani kwa njia zisizo za kikatiba. Hili wazo la hii taasisi siyo la kuiondoa serikali bali la kuisaidia kama ambavyo NGOs zinafanya kazi.
 
Back
Top Bottom