Inawezekana kabisa kwa jina la Tanganyika sio TanzaniaEmbu tufundishane sheria zinasemaje.
Ikitokea wananchi wakasema wanaunda "serikali mbadala" ya kitaifa yenye ngazi kuanzia Mwenyekiti au Rais hadi ngazi ya mtaa.
Wakatafutwa viongozi wa kuunda serikali hiyo kwa njia watakayoona inafaa kwa ajili ya kuwaletea maendeleo yao.
Hata vyama vya siasa vina miundo inayofanana na hiyo na hata baadhi ya kampuni kubwa binafsi zinaweza kuwa na miundo unaofanana na huo.
Ikitokea watu wakaanzisha taasisi ya wananchi ya kujiongoza na kujitafutia maendeleo, hili jambo litachukuliwaje na watawala?
Niliwahi kutoa wazo hili zamani kidogo. Mnaweza kulipitia hapa.
Forming an Alternative Government in Tanzania (Serikali Mbadala)
Sasa itakuwaje serikali wakayi haina usalama. Serikali zingine zinaweza kukamata au kuua viongozi wako na usifanye kitu na serikali yako inakufaSerikali hiyo mbadala haitahusiana na masuala ya usalama.
Mkuu Castle_Lite naomba unitumie picha ya lucas hapa kwenye hii comment ni save faster. Kwasababu wameifuta kwenye posti yake ulipoiweka.
Please nitumie
Shukran za dhati mkuu. Nimeshaisave.Ni hii bro.
Labda kuiita "serikali" nimekosea. Maana yangu ni kuwa na taasisi ya kitaifa isiyo ya kiserikali lakini yenye muundo wa kitaifa na ambayo inagusa nyanja karibia zote ambazo serikali ipo, ukiacha mambo ya usalama. Nia ni kuipa nafasi serikali kujifunza hasa kwenye maeneo ambayo inapata ugumu kubadilika.Sasa itakuwaje serikali wakayi haina usalama. Serikali zingine zinaweza kukamata au kuua viongozi wako na usifanye kitu na serikali yako inakufa
Kazi za kimaendeleo yoyote ya nchi iko chini ya serikali, ukisoma katiba inatambua serikali ndo yenye wajibu wa kuhudumia watanzania.Labda kuiita "serikali" nimekosea. Maana yangu ni kuwa na taasisi ya kitaifa isiyo ya kiserikali lakini yenye muundo wa kitaifa na ambayo inagusa nyanja karibia zote ambazo serikali ipo, ukiacha mambo ya usalama. Nia ni kuipa nafasi serikali kujifunza hasa kwenye maeneo ambayo inapata ugumu kubadilika.
Hii taasisi itakuwa inanyumbulika kirahisi na kufuata maelekezo na ushauri wa wanachama wake.
Huyu ndo Mwosha Mbwa?Ni hii bro.
Anafanana na ndurii iddii amini dada..Ni hii bro.
Kazi za kimaendeleo yoyote ya nchi iko chini ya serikali, ukisoma katiba inatambua serikali ndo yenye wajibu wa kuhudumia watanzania.
Kuhusu mambo ya usalama, mkuu ukisikia serikali lazima utaje usalama. Kwa kifupi wazo unalotoa kisheria ni uhain
Na tutapata watu wengi sanaInawezekana kabisa kwa jina la Tanganyika sio Tanzania
Ni wananchi wasioogopa risasi ndo wanaweza kukitoa hicho kikundi cha watu.Je kama. serikali imetekwa na kikundi cha watu
CCM bora uwaue ila si kufanya hivyo
Nafikiri huo utakuwa uhaini. Kwa mujibu wa tutakavyotafsiri sheria zetu
Inawezekana kabisa kwa jina la Tanganyika sio Tanzania
Sasa itakuwaje serikali wakayi haina usalama. Serikali zingine zinaweza kukamata au kuua viongozi wako na usifanye kitu na serikali yako inakufa
Kazi za kimaendeleo yoyote ya nchi iko chini ya serikali, ukisoma katiba inatambua serikali ndo yenye wajibu wa kuhudumia watanzania.
Kuhusu mambo ya usalama, mkuu ukisikia serikali lazima utaje usalama. Kwa kifupi wazo unalotoa kisheria ni uhaini.
Hapo sasa utakuwa umempoka Lissu kesi yake ya uhaini wa mchongo... maana huo unaozungumzia hapo ndo uhaini wenyewe.
Kuna haja ya kuunda taasisi ya kutetea watanzania Tofauti na Bungeni na Mahakama wananchi waunde wenyewe yeye maslahi na wananchi
Je kama. serikali imetekwa na kikundi cha watu
ni suala tu la tafsiri na labda woga wa kufunikwa kiutendaji ila hata bungeni kuna mawaziri vivuli.Na tutapata watu wengi sana