Keynez JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 3,809 Reaction score 6,948 Nov 4, 2025 Thread starter #21 kijani11 said: Nafikiri huo utakuwa uhaini. Kwa mujibu wa tutakavyotafsiri sheria zetu Click to expand... Malaika wa Misukosuko said: Hapo sasa utakuwa umempoka Lissu kesi yake ya uhaini wa mchongo... maana huo unaozungumzia hapo ndo uhaini wenyewe. Click to expand... Nadhani uhaini ni kuwa na njama za kuiondoa serikali iliyo madarakani kwa njia zisizo za kikatiba. Hili wazo la hii taasisi siyo la kuiondoa serikali bali la kuisaidia kama ambavyo NGOs zinafanya kazi.
kijani11 said: Nafikiri huo utakuwa uhaini. Kwa mujibu wa tutakavyotafsiri sheria zetu Click to expand... Malaika wa Misukosuko said: Hapo sasa utakuwa umempoka Lissu kesi yake ya uhaini wa mchongo... maana huo unaozungumzia hapo ndo uhaini wenyewe. Click to expand... Nadhani uhaini ni kuwa na njama za kuiondoa serikali iliyo madarakani kwa njia zisizo za kikatiba. Hili wazo la hii taasisi siyo la kuiondoa serikali bali la kuisaidia kama ambavyo NGOs zinafanya kazi.