Hivi wananchi wakikataa rasilimali zisibinafsishwe hawana haki ya kusikilizwa?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kama watanzania wengi wakiwemo viongozi wa dini wamekataa kuuza au kukodisha bandari kwanini wanasiasa wasiwaache wabaki na umaskini wao? Maendeleo gani ya kulazimishana?

Kwanza hatujawahi kuwauliza kama wanataka fedha nyingi kama hayo matrilioni. Tumeshawaonyesha njia wamekataa kuipita tuachane nao ipo siku njaa ikizidi watashauri wanachotaka
 
Ni kigezo gani kinakufanya uamini kuwa watanzania wengi wanapinga mkataba?

Au hizi ID kumi kumi za humu JF ndo zinakupofusha.

Wewe haukuona mkutano wa jana Temeke, pamoja na promo na mikwara ya mkutano huo kuhutubiwa na wanasiasa uchwara wa upinzani pamoja na viongozi njaa wa dini lkn mkutano ulikosa kujaza uwanja?

Au umejifanya haujui kwamba watanzania wengi wanataka mkataba ili upate tu na wewe cha kuandika JF?
 
Wote  mnaokataa hamtakiwi nchi hii ni wachochezi na wahuni, hata kama katiba inawatambua ila kwenye issue hii nyie ni wahuni kama anavyosema waziri wenu wa mawasiliano.

Nchi yenu hii ahahaha...
 
Kama watanzania wengi wakiwemo viongozi wa dini wamekataa kuuza au kukodisha bandari kwanini wanasiasa wasiwaache wabaki na umaskini wao? Maendeleo gani ya kulazimishana?

Kwanza hatujawahi kuwauliza kama wanataka fedha nyingi kama hayo matrilioni. Tumeshawaonyesha njia wamekataa kuipita tuachane nao ipo siku njaa ikizidi watashauri wanachotaka
Mambo ya hovyo sn
 
Sasa mtu hata kama ana kiu, ndio umpe maji ya kunywa yenye sumu? Serikali imetukosea sana
 
Ni kigezo gani kinakufanya uamini kuwa watanzania wengi wanapinga mkataba?

Au hizi ID kumi kumi za humu JF ndo zinakupofusha.

Wewe haukuona mkutano wa jana Temeke, pamoja na promo na mikwara ya mkutano huo kuhutubiwa na wanasiasa uchwara wa upinzani pamoja na viongozi njaa wa dini lkn mkutano ulikosa kujaza uwanja?

Au umejifanya haujui kwamba watanzania wengi wanataka mkataba ili upate tu na wewe cha kuandika JF?
Kipi kimesababisha DP world kufunga comment account zao za Instagram?
 
Kama watanzania wengi wakiwemo viongozi wa dini wamekataa kuuza au kukodisha bandari kwanini wanasiasa wasiwaache wabaki na umaskini wao? Maendeleo gani ya kulazimishana?

Kwanza hatujawahi kuwauliza kama wanataka fedha nyingi kama hayo matrilioni. Tumeshawaonyesha njia wamekataa kuipita tuachane nao ipo siku njaa ikizidi watashauri wanachotaka
Wasikilizwe wananchi wepi ?! Maana wapo wanaokataa na wapo wannaoafiki !! Labda tuanze kura kama zile za walioafiki waseme ndio na wasioafiki waseme siyooo !!

Nayo itakuwa ni ngumu tu !!
 
Ni uamuzi wao. Hata wewe haujakatazwa kufunga comment account yako wakati wowote.

Pamoja na kuhamasishana kwa mikwara mingi ya viongozi wa dini, wanasheria njaa na wanasiasa uchwara, hayo ndio mahudhurio ya walioshikiwa akili na wakwepa kodi na ushuru wa bandarini.

Aibu sana
 
Attachments

  • 96b1cb7b-6117-48fc-80e4-ef0f5ee7f754.jpg
    96b1cb7b-6117-48fc-80e4-ef0f5ee7f754.jpg
    88.4 KB · Views: 2

Kwenye swala hili hakuna haja ya kura ndugu yangu.

Kilichotokea jana ni uthibitisho tosha kuwa wananchi wengi wapo upande wa serikali. Wameshagundua kwamba wapingaji wengi wamehongwa ili wapinge kwa manufaa ya wale waliokuwa wanapitisha biashara na vitu vyao mbali mbali bila kulipa ushuru na kodi.
 
Attachments

  • 96b1cb7b-6117-48fc-80e4-ef0f5ee7f754.jpg
    96b1cb7b-6117-48fc-80e4-ef0f5ee7f754.jpg
    88.4 KB · Views: 2
Ni uamuzi wao. Hata wewe haujakatazwa kufunga comment account yako wakati wowote.

Pamoja na kuhamasishana kwa mikwara mingi ya viongozi wa dini, wanasheria njaa na wanasiasa uchwara, hayo ndio mahudhurio ya walioshikiwa akili na wakwepa kodi na ushuru wa bandarini.

Aibu sana
Ndio ni uamuzi wao, lakini unafahamu nini kimesababisha?
 
Mbunge ni nani?,
Mbunge mmoja anabeba(wakirisha) wananchi wa ngapi?,

Wajinga kumbe ni wengi sana aisee!.
 
Kama watanzania wengi wakiwemo viongozi wa dini wamekataa kuuza au kukodisha bandari kwanini wanasiasa wasiwaache wabaki na umaskini wao? Maendeleo gani ya kulazimishana?

Kwanza hatujawahi kuwauliza kama wanataka fedha nyingi kama hayo matrilioni. Tumeshawaonyesha njia wamekataa kuipita tuachane nao ipo siku njaa ikizidi watashauri wanachotaka
Kwa upande wa CCM wananchi hawana haki hiyo!!
 
Mbunge ni nani?,
Mbunge mmoja anabeba(wakirisha) wananchi wa ngapi?,

Wajinga kumbe ni wengi sana aisee!.
Mbunge gan hapo anaewakilisha wananchi practically? Yaan aonyeshae kuipinga gavoo haswa kwa jambo la DP world? Si ni wote walipitisha kwa kishindo!!
 
Wasikilizwe wananchi wepi ?! Maana wapo wanaokataa na wapo wannaoafiki !! Labda tuanze kura kama zile za walioafiki waseme ndio na wasioafiki waseme siyooo !!

Nayo itakuwa ni ngumu tu !!
Halaf mastermind wa kusimamia hizo kura ili mshind ajulikane ni nan? NB; Tunaogopa kuhusu kura maan mshind huchaguliwa out of pole
 
Kama watanzania wengi wakiwemo viongozi wa dini wamekataa kuuza au kukodisha bandari kwanini wanasiasa wasiwaache wabaki na umaskini wao? Maendeleo gani ya kulazimishana?

Kwanza hatujawahi kuwauliza kama wanataka fedha nyingi kama hayo matrilioni. Tumeshawaonyesha njia wamekataa kuipita tuachane nao ipo siku njaa ikizidi watashauri wanachotaka
Una akili nyingi sana bwashee.

Watoto hawataki kula kuku unawalazimishaje? Wakitapika je?
 
Mbunge gan hapo anaewakilisha wananchi practically? Yaan aonyeshae kuipinga gavoo haswa kwa jambo la DP world? Si ni wote walipitisha kwa kishindo!!
Maana yake wananchi 3/4 tumepitisha Dp world kuwekeza Bandarini kama makubaliano yasemavyo.
 
Back
Top Bottom