Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mambo ya hovyo snKama watanzania wengi wakiwemo viongozi wa dini wamekataa kuuza au kukodisha bandari kwanini wanasiasa wasiwaache wabaki na umaskini wao? Maendeleo gani ya kulazimishana?
Kwanza hatujawahi kuwauliza kama wanataka fedha nyingi kama hayo matrilioni. Tumeshawaonyesha njia wamekataa kuipita tuachane nao ipo siku njaa ikizidi watashauri wanachotaka
Sasa mtu hata kama ana kiu, ndio umpe maji ya kunywa yenye sumu? Serikali imetukosea sanaKama watanzania wengi wakiwemo viongozi wa dini wamekataa kuuza au kukodisha bandari kwanini wanasiasa wasiwaache wabaki na umaskini wao? Maendeleo gani ya kulazimishana?
Kwanza hatujawahi kuwauliza kama wanataka fedha nyingi kama hayo matrilioni. Tumeshawaonyesha njia wamekataa kuipita tuachane nao ipo siku njaa ikizidi watashauri wanachotaka
Kipi kimesababisha DP world kufunga comment account zao za Instagram?Ni kigezo gani kinakufanya uamini kuwa watanzania wengi wanapinga mkataba?
Au hizi ID kumi kumi za humu JF ndo zinakupofusha.
Wewe haukuona mkutano wa jana Temeke, pamoja na promo na mikwara ya mkutano huo kuhutubiwa na wanasiasa uchwara wa upinzani pamoja na viongozi njaa wa dini lkn mkutano ulikosa kujaza uwanja?
Au umejifanya haujui kwamba watanzania wengi wanataka mkataba ili upate tu na wewe cha kuandika JF?
Wasikilizwe wananchi wepi ?! Maana wapo wanaokataa na wapo wannaoafiki !! Labda tuanze kura kama zile za walioafiki waseme ndio na wasioafiki waseme siyooo !!Kama watanzania wengi wakiwemo viongozi wa dini wamekataa kuuza au kukodisha bandari kwanini wanasiasa wasiwaache wabaki na umaskini wao? Maendeleo gani ya kulazimishana?
Kwanza hatujawahi kuwauliza kama wanataka fedha nyingi kama hayo matrilioni. Tumeshawaonyesha njia wamekataa kuipita tuachane nao ipo siku njaa ikizidi watashauri wanachotaka
Ni uamuzi wao. Hata wewe haujakatazwa kufunga comment account yako wakati wowote.Kipi kimesababisha DP world kufunga comment account zao za Instagram?
Kwenye swala hili hakuna haja ya kura ndugu yangu.Wasikilizwe wananchi wepi ?! Maana wapo wanaokataa na wapo wannaoafiki !! Labda tuanze kura kama zile za walioafiki waseme ndio na wasioafiki waseme siyooo !!
Nayo itakuwa ni ngumu tu !!
Ndio ni uamuzi wao, lakini unafahamu nini kimesababisha?Ni uamuzi wao. Hata wewe haujakatazwa kufunga comment account yako wakati wowote.
Pamoja na kuhamasishana kwa mikwara mingi ya viongozi wa dini, wanasheria njaa na wanasiasa uchwara, hayo ndio mahudhurio ya walioshikiwa akili na wakwepa kodi na ushuru wa bandarini.
Aibu sana
Tutakijua wakishaanza shughuli rasmi bandarini.Ndio ni uamuzi wao, lakini unafahamu nini kimesababisha?
Kwa upande wa CCM wananchi hawana haki hiyo!!Kama watanzania wengi wakiwemo viongozi wa dini wamekataa kuuza au kukodisha bandari kwanini wanasiasa wasiwaache wabaki na umaskini wao? Maendeleo gani ya kulazimishana?
Kwanza hatujawahi kuwauliza kama wanataka fedha nyingi kama hayo matrilioni. Tumeshawaonyesha njia wamekataa kuipita tuachane nao ipo siku njaa ikizidi watashauri wanachotaka
Mbunge gan hapo anaewakilisha wananchi practically? Yaan aonyeshae kuipinga gavoo haswa kwa jambo la DP world? Si ni wote walipitisha kwa kishindo!!Mbunge ni nani?,
Mbunge mmoja anabeba(wakirisha) wananchi wa ngapi?,
Wajinga kumbe ni wengi sana aisee!.
Nimeshangaa na ni mlinda legacy mashuhuri π€£π€£π€£π€£Kwenye hili umeungana na machadema !! π π π tuwe tunaweka akiba ya maneno bandugu,
Dunia inaenda mbio sana !
Halaf mastermind wa kusimamia hizo kura ili mshind ajulikane ni nan? NB; Tunaogopa kuhusu kura maan mshind huchaguliwa out of poleWasikilizwe wananchi wepi ?! Maana wapo wanaokataa na wapo wannaoafiki !! Labda tuanze kura kama zile za walioafiki waseme ndio na wasioafiki waseme siyooo !!
Nayo itakuwa ni ngumu tu !!
Una akili nyingi sana bwashee.Kama watanzania wengi wakiwemo viongozi wa dini wamekataa kuuza au kukodisha bandari kwanini wanasiasa wasiwaache wabaki na umaskini wao? Maendeleo gani ya kulazimishana?
Kwanza hatujawahi kuwauliza kama wanataka fedha nyingi kama hayo matrilioni. Tumeshawaonyesha njia wamekataa kuipita tuachane nao ipo siku njaa ikizidi watashauri wanachotaka
Na hutaki kujua wa kuuliza kilichosababisha wafunge account zao?Tutakijua wakishaanza shughuli rasmi bandarini.
Maana yake wananchi 3/4 tumepitisha Dp world kuwekeza Bandarini kama makubaliano yasemavyo.Mbunge gan hapo anaewakilisha wananchi practically? Yaan aonyeshae kuipinga gavoo haswa kwa jambo la DP world? Si ni wote walipitisha kwa kishindo!!