Hivi wananchi wakikataa rasilimali zisibinafsishwe hawana haki ya kusikilizwa?

Na hutaki kujua wa kuuliza kilichosababisha wafunge account zao?
Haya niambie wewe sababu, ila uweke na fact za kunifanya niamini sio uniletee tetesi kama zile wanazoleta wapinga mkataba.

Mtu anasema serikali imeuza bandari zetu, lkn hatuoneshi kifungu cha mkataba kinachozungumzia uuzwaji huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…