Hivi wanaofaidi keki ya taifa ni nani hasa kati ya Wananchi na Viongozi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nazungumzia kutoka maisha ya mtaani kabisa kule kwa akina bwashee Mrangi mgonga kokoto.

Hii keki ya taifa anayeifaidi ni nani hasa?

Huku chini tozo, ushuru na kodi ni nyingi sana na labda hizi ndio zinatengeneza hiyo keki, je kuna mrejesho wowote wa keki kwa hawa waponda kokoto wasiokwea V 8?

Maendeleo hayana vyama!
 
nyie ndo mpo huko juu mnaongea huku mmeshiba mabaga. tulia dunia ndo ilivyo hakuna usawa
 
Keki ya taifa wanaifaidi waheshimiwa nyie wengine mnaambulia kinyesi cha taifa walichokinya waheshimiwa
 
wanafaidi wanaotembelea magari ya millioni 400 na kula kiyoyozi tu siku nzima

wanafaidi pia wanaokwapua mamillioni na kujilimbikizia mali bila kushitakiwa popote huku wanaoibiwa wakibatizwa jina la wanyonge

Nasema uongo ndugu zangu?
 
Nazungumzia kutoka maisha ya mtaani kabisa kule kwa akina bwashee Mrangi mgonga kokoto.

Hii keki ya taifa anayeifaidi ni nani hasa?

Huku chini tozo, ushuru na kodi ni nyingi sana na labda hizi ndio zinatengeneza hiyo keki, je kuna mrejesho wowote wa keki kwa hawa waponda kokoto wasiokwea V 8?

Maendeleo hayana vyama!
Utakula vitumbua mpaka uvimbiwe ww ni nani wa kula keki
 
Nazungumzia kutoka maisha ya mtaani kabisa kule kwa akina bwashee Mrangi mgonga kokoto.

Hii keki ya taifa anayeifaidi ni nani hasa?

Huku chini tozo, ushuru na kodi ni nyingi sana na labda hizi ndio zinatengeneza hiyo keki, je kuna mrejesho wowote wa keki kwa hawa waponda kokoto wasiokwea V 8?

Maendeleo hayana vyama!
Duh aise naona umeamua kuniuaaa
Sawa mtani subiria na wewe dozzy iko
Njiani

Ova
 
Wala keki ndo wanacampain ya kubadili ukomo hofu njaa akiingia mwingine.
 
Jibu ni viongozi ukisikia wanatumia VX ya million mia nne iyo bei ambayo haipo sokoni unadhani hapo mnufaika ni nani na hapo ni fedha za wananchi ambazo zipo kwenye mgongo wa kodi utasikia vikao vyote viriridhia hayo matumizi kwa hiyo kisheria yapo sawa...
 
Back
Top Bottom