Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nazungumzia kutoka maisha ya mtaani kabisa kule kwa akina bwashee Mrangi mgonga kokoto.
Hii keki ya taifa anayeifaidi ni nani hasa?
Huku chini tozo, ushuru na kodi ni nyingi sana na labda hizi ndio zinatengeneza hiyo keki, je kuna mrejesho wowote wa keki kwa hawa waponda kokoto wasiokwea V 8?
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa....... haya bhana!Na wewe uwege unauliza maswali yenye kichwa na miguu.
Kwani wewe maisha yakikunyookea nani ataanza kunywa soda na bia.. familia au wewe utafutaji utaanza kujipongeza kwanza
True au mla keki,msaza kodi zetu anaishi ikulu tatu at the same time huku mkamuliwa kodi ana lala nje hata kibanda hana,watu kufa kwa kukosa Panadol ya 500 sio jambo la kushangaawanafaidi wanaotembelea magari ya millioni 400 na kula kiyoyozi tu siku nzima
wanafaidi pia wanaokwapua mamillioni na kujilimbikizia mali bila kushitakiwa popote huku wanaoibiwa wakibatizwa jina la wanyonge
Nasema uongo ndugu zangu?